Kabisa mkuu right wangekua wanapata airtime ktk media zingine wangekua mbali sana na wangepata kolaboleshion za kutosha
Lets say unakuta Mario anataka kufanya kolabo na Mondi akifikiria mond apigwi clouds wa chaneli5 hivyo anaona bora aache
Kuna kipindi mondi alipata kolabo na wasanii wengi sana na ile ilikua kwasababu anapigwa clouds na eatv sasa angalia kwasasa hana kolabo nyingi sana wasanii wanaogopa kufanya naye kolabo kutokana na yeye haelewani na baadhi ya media
Hivi unafikiri Mboso kwa hit song alizotoa zile angeshindwa kupata kolabo kutoka kwa wasanii wa ndani kama vile Nandi, Darasa, marioo, Barnaba na wengine wengi ila wanamuogopa kutokana na lobo aliyokua nayo haina mahusiano mazuri na media zingine, Diamond anaakili Sana kuanzisha media yake bila hivyo alikua anakufa chali.