Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

Rayvanny usilipe million 800, Serikali kemeeni upuuzi wa Diamond Platinum

Sisi ngozi nyeusi tuna matatizo sana, kuna true story ya ronaldo anaisimulia mwenyewe, anasema akiwa mdogo kulikuja watu huko kwao waliokuwa wanahitaji vijana kwa ajili ya kwenda academy kuendelezwa, na ilikuwa atakaescore magoli mengi ndo anachukuliwa, kuna jamaa ake walikuwa wote wamescore goli moja moja, huyo jamaa akapata chance ya kuscore goli la pili ila akampa pasi ronaldo ili ascore goli la pili na ndo ikawa tobo la ronaldo tunaemjua leo... inasemekana huyo jamaa hana issue ya maana anafanya ila maisha yake ni mazuri sana, ukimuuliza anasema kila kitu kwene maisha yake kinafanywa na ronaldo.
Cha kujifunza apa ni kwamba tusiwe tunasahau tunakotoka, tukiachana na hoja ya msingi kwamba it was bussness mond kuwasign hao wasanii wake ila alikuwa ana risk na kusucrifice vitu vyake vingi... kitu ambacho ni adimu sana kukipata kwa watu wengi. Mi nadhani ni vizuri hawa wanaosign out wawe wanashauriwa vizuri, mtu anaweza akatoa kidogo lakini kikawa ndo kila kitu chake, kikikusaidia ukafanikiwa kiheshimu, kama kulikuwa na makubaliano mengine yaheshimu.
Umri wao bado mdogo, wameshakuwa brand, wanaweza kujitegemea kipi kigumu kutimiza masherti ya kibiashara then wakaendeleza harakati na kufanikiwa zaidi, wangekuwa wanastaafu labda... ila kama anataka kufika mbali ni vizuri kujihakikishia kwamba anajiweza kuanzia kutekeleza mambo ya namna iyo...
 
If its contractual alipe tu! Wakiwa hawana mbele wala nyuma wanakubali masharti yote alafu wakishakuwa wakubwa wanataka kuchomoka kama vile walikuwa academy tu!

WCB wanajua value yake ndio maana wanataka chao. Hiyo value imetengenezwa, bila WCB huyo angekuwa shamba huko! Aheshimu mkataba asonge mbele, simple!
 
Mikataba waliyokuwa wanasign wasee wetu na wazungu bila kujua mbeleni kitatokea nini ndio hiki.van boy alikuwa hana umaarufu huo kweli.lakin si walikuwa wanamchukua 60% sasa iweje tena atake kuondoka uchukue alichonacho chote anaki na jina tu .kwanza huyo van boy sijui kama atakuwa hata na mil 200 kwenye pochi nene yake....ila wasafi ni watu makatili sijawai ona dunia hii na wanataka ukitoka hapo kwao basi ufe kabisa kama sio kuzikwa kaburini.
 
Acha kupotosha na hii statement yako

“Baada ya kuvunja mkataba unasema milion 800“.. unasema as if jamaa amemstukiza

Hio milion 800 ilikuepo kwny mkataba kipindi wanakubaliana, kama yeye aliona hataweza angekataa ku sign.

Sio unakubali unakula hela za watu unapata umaarufu halafu unataka kukimbia, unakimbia kwenda wapi? Maliza makubaliano sio kutafuta huruma.

Na umesema mwenyewe diamond kachukua bilion 6 (kwa 60%). It means rayvanny kachukua bilion 4 (kwa 40%) yake. Hio 4 bilion vanny angetoa wapi asingeenda wasafi? Angebaki mbeya saiv hata baiskeli asingekua nayo
Mtoa mada nazani shule ndio inamsumbuwa
 
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!

Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.

Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.

Wewe ulilalama Ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.

Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. Komaa na Serikali watakusaidia.

Diamond una roho mbaya
Asipolipa Haki zotë zimehifadhiwa na wasafi baby. Unataka mwenzio aanze upya. Kimkataba yeye Hana nyimbo Bali zinamilikiwa na wasafi. Ataishia kuimba jukwaani tu.
 
Mkataba mbona uko wazi, utakua chini ya wasafi miaka 10 then unasepa kiroho safi uko free kapige pesa. Ukivunja kabla unalipa gharama.

Mkataba haujasema kuwa ukisepa baadavya kumaliza unalipa. Ss we unataka kusepa kabla ya mkataba haujaisha alafu usepe bure? Lipa makubaliano yenu au subiri miaka yako 10 iishe then sepa.

Iliwahi tokea case chuo fulani, jamaa alkua hohehahe hana ada, kuna hospitali akaenda kuomba msaada wakamwwmbia watalipa ada yake miaka yote mitano ya udaktari (kwa mwaka si chini ya 5m) hapo miaka 5 ni zaidi ya 25m

Makubaliano ilikua akimaliza chuo ataenda kufanya kazi pale hospital kwa miaka 2 then atakua free. Otherwise akimaliza alipe 25m zao na interest juu asepe

Jamaa kamaliza MD akapata shavu hospitali nyingine salary ndefu, akataka kusepa, hosp iliomsesha ikaja juu, alipe hela yao au arudi apige miaka 2 ndo asepe

Jamaa akapeleka kesi mahakamani akaangukia pua

Sisi maskini ni wajinga sana, unatolea ukiwa hohehahe alaf ukitusua unasahau waliokupa assist na mkataba
 
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!

Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.

Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.

Wewe ulilalama Ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.

Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. Komaa na Serikali watakusaidia.

Diamond una roho mbaya
Serikali yenyewe imeleta tozo mpaka bank, pesa haijawai kutosha
 
Sio lazima alipe, anaweza acha social media zote akafungue mpya, yeye si maarufu bwana, na nyimbo zote alizofanya WCB zinabaki huko akaimbe zingine.
Mnafanya utani yeye sasa hivi ni product ya WCB na sio yule Raymond wa Tiptop
 
Hahaha! Twendeni tu shule hivyo hivyo hata kama tunaenda kusomea ujinga.

Mleta mada miliki kwanza biashara hata ya genge, mtu aje aichezee na kuigeuza geuza atakavyo halafu utuletee mrejesho.

Btw, Diamond hajawahi kuwa na mkataba na Ruge, kama upo warithi wa Ruge(RIP) mpelekeni Diamond mahakamani.
 
Tena hiyo 800 ni ndogo angetakiwa kulipa zaidi ya hiyo raymond alikuwa kachoka vibaya
 
Huwa wanatudanganya waongo waongo tu hao.
 
Hahaha! Twendeni tu shule hivyo hivyo hata kama tunaenda kusomea ujinga.

Mleta mada miliki kwanza biashara hata ya genge, mtu aje aichezee na kuigeuza geuza atakavyo halafu utuletee mrejesho.

Btw, Diamond hajawahi kuwa na mkataba na Ruge, kama upo warithi wa Ruge(RIP) mpelekeni Diamond mahakamani.
Shida shule mkuu wangesoma somo la Business Laws wangeelewa maana ya mikataba
 
Seriously million 800..Diamond wewe ni insane? au!

Msanii umemchua umeweka pesa baada ya miaka 2 umeanza kula 60 % zake baada ya kutaka kuvunja mkataba unasema million 800 for what. Acha upuuzi wewe.. Tatizo huna shule na hiyo mimeneja njaa inakuponza.

Umechukua zaidi ya billion 6 kwa asilimia 60 kwa Rayvanny hata nyimbo nyingi Raymond katoa kwa gharama zake.

Wewe ulilalama Ruge anakunyonya kwann unanyonya wengine.

Raymond usitoe hata 100 la sivyo arudishe hizo asilimia 60 zaidi ya billion 6. Komaa na Serikali watakusaidia.

Diamond una roho mbaya
Ila kuna harufu ya wizi hapa! Tangu ajiunge na hao Wasafi, amekuwa akipata 40% pekee, huku 60% ikienda kwenye Kampuni ya Wasafi, na mmiliki wake! Kwa miaka yote msanii aliyokuwepo kwenye hiyo kampuni, ameichangia zaidi ya bilioni 6 kupitia hiyo 60%!!!

Halafu umefika muda wa kujitegemea, unamtaka tena akulipe milioni 800!! Eti kwa ajili ya kuvunja mkataba! Nadhani busara ingetumika ili kupata muafaka.
 
Waafrica hamuendelei maana mnaleta ujuaji mwingi na kutaka kukeuka makubaliano, ndo maana vichina vinaeaingiza kwenye mikataba mnaingia mkenge
 
Back
Top Bottom