Rayvany ameachia ngoma tano, wapendanao kazi kwenu sasa

Ngoma za Kawaida Sana haziwezi kufika Popote, sana sana ataambulia tuViews tuchache Youtube
 
Kingsmann,

Mkuu nakubaliana na ww unaposema Lavalava inabidi akaze.
Ila sio fair kumlinganisha Vanny boy na Maua Sama!!! Halafu huwezi kumlinganisha Vanny boy na Weusi. Lile kundi sk hizi kila mmoja ana kazi zake.
 
playboy babu, Mkuu wewe unaujua Mziki, umeongea Point Sana Wenye akili kubwa tumekuelewa Una madini sana mkuu Naendelea kufuatilia kwa ukaribu jinsi unavyouchambu kiweledi huu Mziki
 
Ukiangalia watu wengi wanaochangia katika uzi huu ni kwamba huenda hawaujui Mziki km ilivo kwenye Mpira (ya kutaka kila mechi simba ashinde, akifungwa nongwa) au hawajui kuenda na soko na uhitaji wa mashabiki (kwa vile sio wasanii hili jicho hawana kabisa)

Cha kushangaza mtu mzima na mindevu yake km beberu lakini anashindwa kutofautisha kati ya Ep na kutoa nyimbo nyingi... Toka mwaka jana Vanny boy alisema ataachia Ep kwny mwezi huu na itakuwa na ngoma 5 mpya na 2 tushazisikia (i love you na naogopa). Mwezi wa kwanza akaongeza kuwa zitakuwa 8 na ni spesho kwa ajili ya wapendanao na kilele chake huwa kinafanyika mwezi huu tar. 14. Sasa kipi cha ajabu hapo?

Ndo nyie mnaoshindwaga kutofautisha kati ya Album na Deluxe na kudai "mbona karudia album" au "mbona huku nyimbo zipo nyingi zaidi?"

Kama hujui subiri ueleweshwe
 
[QUOTE="playboy babu, post: 34348278, member: Diamond alikuwa serious sana last year bt kaenda Sound city karudi mtupu why?..ni coz unaenda unajikuta upo category moja na mtu uliyemkop cc SOAPY ya NAIRA MARLEY na BABA LAO utatokea wapi?..anaenda mahali anaipiga Yope na watu wanajua Yope ni ya INNOS B is that a seriousness?..msanii tulia upe ubongo nafas achia ngoma.

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Sizani kama Diamond ame copy labda cjui copy unayo isema ni ipi,swala la kukosa tuzo naona akukizi vigezo vilivyo wekwa siyo yeye tu Aliye kosa katika category aliyo kuwepo, sasa sizani kama na hao nominees wengine walikosa kwa ku copy, ku performe wimbo ulio shirikishwa siyo tatizo nimeona wasanii wakubwa wana perform mfano davido ka perform mara kibao number one rmx.


Sent using iphone
 
Sizani kama Diamond ame copy labda cjui copy unayo isema ni ipi,swala la kukosa tuzo naona akukizi vigezo vilivyo wekwa siyo yeye tu Aliye kosa katika category aliyo kuwepo, sasa sizani kama na hao nominees wengine walikosa kwa ku copy, ku performe wimbo ulio shirikishwa siyo tatizo nimeona wasanii wakubwa wana perform mfano davido ka perform mara kibao number one rmx.


Sent using iphone[/QUOTE]Si unajua wabongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…