Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
upuuzi ni kununua vipindi radio fm na tv siku nzima kuanzia asubuhi hadi usiku kisa promo ya wimbo mbovu.Mapinduzi kutoa nyimbo 5 kwa Mara moja?/upuuzi..hii game watu wameifanyia kaz since huko acheni porojo za kipuuzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawezi kukumbuka sababu ya chuki na wivu.Hivi mbona watu wanasahau mondi alishinda sound city 2018 best male MVP? Haiwezekani ashinde kila mwaka!!!
Ngoma za Kawaida Sana haziwezi kufika Popote, sana sana ataambulia tuViews tuchache Youtube
Play boy babu wakala wa kibaMkuu wewe unaujua Mziki, umeongea Point Sana Wenye akili kubwa tumekuelewa Una madini sana mkuu Naendelea kufuatilia kwa ukaribu jinsi unavyouchambu kiweledi huu Mziki
U serious anaona ni kutoa nyimbo nyingi katika muda mfupi that's not true brah...u serious n ubora Wa kaz
Sent using Jamii Forums mobile app
Sizani kama Diamond ame copy labda cjui copy unayo isema ni ipi,swala la kukosa tuzo naona akukizi vigezo vilivyo wekwa siyo yeye tu Aliye kosa katika category aliyo kuwepo, sasa sizani kama na hao nominees wengine walikosa kwa ku copy, ku performe wimbo ulio shirikishwa siyo tatizo nimeona wasanii wakubwa wana perform mfano davido ka perform mara kibao number one rmx.[QUOTE="playboy babu, post: 34348278, member: Diamond alikuwa serious sana last year bt kaenda Sound city karudi mtupu why?..ni coz unaenda unajikuta upo category moja na mtu uliyemkop cc SOAPY ya NAIRA MARLEY na BABA LAO utatokea wapi?..anaenda mahali anaipiga Yope na watu wanajua Yope ni ya INNOS B is that a seriousness?..msanii tulia upe ubongo nafas achia ngoma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww ni mpenz wa nyimbo za kusikiliza na sio za kubang , ongezea Tu na Ukimwona ya mond list itapendeza