Rayvany ameachia ngoma tano, wapendanao kazi kwenu sasa

exalioth

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2016
Posts
2,263
Reaction score
3,897
Mr Malavidavi Rayvany a.k.a VannyBoyChui[emoji249] Ameamua kuachia ngoma tano5 kwa wakati mmoja

Kuelekea sikukuu ya wapendanao wainjoi na burudani za kubebeleza
FB_IMG_1581240555947.jpeg

Exalioth
Rais wa machinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasaf wanajua kuliteka soko !! Wanajua kusoma game inataka nini .......na jamii inataka nini sio kama yule mpuuzi anayejiona anakipaji wakati anabeba na tour za kwenye mabanzi ya nguruwe kule tabora

Tuwe wakweli tu ...ktk historia ya mziki ..wasafi wameleta mapinduz makubwa kwenye game

sent from toyota Allex
 
Haya tumekusikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoma alizotoa Rayvanny zinajiuza zenyewe Wala haziitaji promo.Unaweza kuombea bank mkopo ukapewa bila riba, zinatibu magonjwa sugu,zinaondoa stress bila kusahau zinaongeza nguvu za kiume big up kwa mbeya boy kwa kutupa kazi nzuri ila kwangu sweat Melody ndo best song kwangu ingawa zingine nazielewa.
 
who is my Valentine sasa au nizisikilize mwenyewe nini?
 
Wasaf wanajua kuliteka soko !! Wanajua kusoma game inataka nini .......na jamii inataka nini sio kama yule mpuuzi anayejiona anakipaji wakati anabeba na tour za kwenye mabanzi ya nguruwe kule tabora

Tuwe wakweli tu ...ktk historia ya mziki ..wasafi wameleta mapinduz makubwa kwenye game

sent from toyota Allex
Mapinduzi Gani Waliyoyaleta ebu yaseme.. Au ndo unajiropokea

Hizi Ngoja za Kiunderground ndo Mapinduzi yenyewe?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Bado singeli ya mtu hamjaizima jamani na domo nae aongeze ua jeusi kuizima kabisa pheeewww
 
Mapinduzi Gani Waliyoyaleta ebu yaseme.. Au ndo unajiropokea

Hizi Ngoja za Kiunderground ndo Mapinduzi yenyewe?
Ww ndiye unaropoka maana haujabakiziwa sembe umekuta wameshakula ....subiri usiku ukienda kutembea wanakupiga raba tena[emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu stress za kumaliziwa ugali unazileta huku

Taja Mapinduzi Waliyoyaleta si kupiga mboyoyo za Vijiwe vya visharobaro uchwara
 
Back
Top Bottom