Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.
RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"
Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.
Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?
View attachment 1962815
huyo kifutu vipi?
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.Huo ni ukweli dhahiri, licha ya kuwa na msimu mbovu yanga wameongoza kuingia uwanjani kuitazama timu yao ( mbumbumbu atasema haihusiani ivi kwa Tabia zetu watanzania unaweza enda kumuona mpinzani wako)
Kwa hiyoooo?
Ndio watoe pesa kwa timu zinazopambana na Simba?
Dogo unafurahisha sana ko unataka nambia mpira wa yanga mwaka jana ulikuwa na burudani (wa kufurahisha zaidi ya simba)We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.
Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.
Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.
Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Wanatia Aibu Hawa Tena Wizara Husika Ingekemea Huu Ujinga Unashika Kasi Sasa HiviWanasiasa wanajiona wamepoteza mvuto wamegeukia mpira
Sasa kwa nn watu hao hao wasiingie mechi za mikia!We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.
Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.
Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.
Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Makonda alipokuwa akigawa pesa kwa KMC alikuwa anakunya au anaarisha?Kwa hiyoooo?
Ndio watoe pesa kwa timu zinazopambana na Simba?
Unahalalisha "WALEZI"kutoa milioni 10 na maagizo ya kuvunja watu miguu na pua? embu kuweni na ubinadamu basi hata kama ni kukosa kombe miaka 4 msifike huko..HUO NI UGAIDI KABISA KULIKO HATA LAKI SITA YA MBOWE YA KUNUNUA UNIFORM ZA WALINZI WAKEMakonda alipokuwa akigawa pesa kwa KMC alikuwa anakunya au anaarisha?
Vipi Kiongoz wa TFF alipowaambia Azzam mwaka Jana waikazie yanga wasilegeze walikuwa wanakunya au wanarisha?
Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Pambaneni na Hali zenu !!
Mo kafanya uhuni mwingi Sana kwa kumtumia makonda na tff mpaka Manji akapewa mijikesi isiyo na maana ili tu yanga ife..
Aya mpeni kikwete na GSM kesi Sasa tuone wapuuzi wakubwa mnauza unza wachezaji halafu mnakuja kusema mnakamiwa .
Ni hivi mwaka huu kila mtu ashinde mech zake!!
Walishapewa tangu 21 AugustCoastal watapewa chao
Kila Mtanzania mpenda soka analijua hili.Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.
RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"
Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.
Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?
View attachment 1962815