RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

RC Adam Malima: Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba

Badala ya kuzungumzia coastal na African sports...yeye anazungumzia timu za Dar

Hopeless kabisa huyu
simba vs coastal union coming up, kuna milioni 15 ya kuendela kuvunja miguu wachezaji wa simba, watu wamechoka kukaa miaka 4 bila kombe ni umafia tu tukilalamika kwa nini hela ziambatane na masharti ya kucheza kung fu tuanaambiwa mbona bashite aliwapa hela kmc kwa kuwafunga utopwinyo swali ni kwamba uto walikuwa wanarukiwa kung fu?
 
Kwani Makonda alipokuwa Dar ilikuwaje? Niliwahi kusikia aliwahi kuahidi sh. Milioni 20 kwa KMC ikiifunga Yanga...au ilikuwa uongo?! Vipi PM na Namungo?
Yes tena ilikuwa 20 milioni na hakutoa condition ya kmc kuwarukia kung fu wachezaji wa utopwinyo wala kuwavunja miguu na pua, umeona tofauti na hela za sasa hivi? yaani inachezwa MMA uwanjani kisa milioni 10 ambayo wakigawana ni kama laki tatu kila mtu siku wauza magodoro wakitoa milioni 100 si wataingia na visu uwanjani?
 
We ndiyo mbumbumbu PhD unaongea na kutoa majibu sahihi kabisa. Kwamba wanaoenda uwanjani wengine Wala hawana ushabiki na simba Wala yanga Bali burudani tu.

Toeni na ushahidi wa hizi takwimu basi.

Insta, fb, twita Simba Ina mashabiki milioni 2 ,yanga laki 9.

Utopolo kila jambo ni kujifariji.
Mbona takwimu zilitolewa hapa hapa we kenge. Msimu uliopita Yanga iliongoza kwa kuingiza mapato,na mashabiki wengi uwanjani kuliko timu yoyote.

Ni vile tu Yanga hawana kelele kelele kama za nyie vichaa. Ingekuwa nyie mngeenda mpaka mwezini
 
Makonda alipokuwa akigawa pesa kwa KMC alikuwa anakunya au anaarisha?

Vipi Kiongoz wa TFF alipowaambia Azzam mwaka Jana waikazie yanga wasilegeze walikuwa wanakunya au wanarisha?

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu? Pambaneni na Hali zenu !!
Mo kafanya uhuni mwingi Sana kwa kumtumia makonda na tff mpaka Manji akapewa mijikesi isiyo na maana ili tu yanga ife..
Aya mpeni kikwete na GSM kesi Sasa tuone wapuuzi wakubwa mnauza unza wachezaji halafu mnakuja kusema mnakamiwa .

Ni hivi mwaka huu kila mtu ashinde mech zake!!
Tofautisha kuwapa pesa wachezaji kama pongezi baada ya kushinda mechi na kuwaahidi pesa kabla ya mechi kukamia timu fulani na ikibidi kuwaumiza kabisa.

Halafuuuu mbona hizo ahadi ni pale Simba inapocheza na timu nyingine na hizo timu haziahidiwi na hao wakuu wa mikoa zikicheza na timu nyingine,au nyinyi ni vipofu hamuoni hayo eeeh?

Tff hawawezi kufanya upuuzi huo kam una ushahidi uweke wazi tuokoe soka letu,au la hiyo ni mihemko yako tu.

Yaani Mo ampe kesi Manji halafu baadae tena atekwe,kweliii?

Halafu hata hivyo mbona hamkusema kipindi hicho kuwa Mo ndio kapelekea Manji kufanywa vile unakuja na hoja ya kindezi hii leo,kweli??Mo ana nguvu hizo kweli au umefilisika kwa hoja jibaba?

Haya,Mara Kikwete mara sijui nani utawataja wote wahujumu wa Simba hapa,hujaulizwa unajaa mwenyewe.
 
Huo ni ukweli dhahiri, licha ya kuwa na msimu mbovu yanga wameongoza kuingia uwanjani kuitazama timu yao ( mbumbumbu atasema haihusiani ivi kwa Tabia zetu watanzania unaweza enda kumuona mpinzani wako)
Ukitoa msimu uliopita Je unajua takwimu za misimu mingine Simba alikuwa akiongoza??Kwa hiyo Yanga kampita Simba mashabiki Mwaka uliopita si ndio??
 
Dogo unafurahisha sana ko unataka nambia mpira wa yanga mwaka jana ulikuwa na burudani (wa kufurahisha zaidi ya simba)

Tanzania lini watu wameanza penda mpira, mbona hao wapenda burudani wameonekana yanga tu na sio mtimbwa, ihefu ama simba

Katana kubali yanga Ina washabiki wengi zaidi
Kwakuwa hakuna takwimu rasmi kwamba Nani ana mashabiki wengi Tanzania basi tuangalia takwimu za mitandao ya kijamii Nani anaongoza kuwa na followers wengi maana technology hasa Mambo ya digital hayadanganyi ,maana fb followers wa Simba ni Mara mbili ya Yanga ,Instagram followers wa Simba ni Mara 3 ya Yanga ,na Twitter followers wa Simba ni zaidi ya Mara 4 wa Yanga.
 
Dogo unafurahisha sana ko unataka nambia mpira wa yanga mwaka jana ulikuwa na burudani (wa kufurahisha zaidi ya simba)

Tanzania lini watu wameanza penda mpira, mbona hao wapenda burudani wameonekana yanga tu na sio mtimbwa, ihefu ama simba

Katana kubali yanga Ina washabiki wengi zaidi
Kilichotolewa na Tff Ni mapato ya viingilio mlangoni siyo idadi ya mashabiki wa yanga au Simba.

Je,kila anaeenda mechi ya Yanga au Simba ni shabiki hizo timu?.

Je ni lazima kila shabiki wa Simba au yanga au timu nyingine yyte aende uwanjani timu yake inapocheza?

Mitandao ya kijamii inaonyesha Simba ana followers milioni 2, Yanga laki 9
Je,kila aliye follow page au akaunt ya simba au Yanga ni shabiki wa hiyo timu?

Je, Ni kwanini watu wengi wakaifollow simba kuliko Yanga?

Je, ili kujiridhisha idadi hii km ni ya kweli Ni lazima watu wote milioni mbili waende uwanjani kwa wakati mmoja wa mechi moja ya Simba? Na yanga hivyo hivyo.

Nb:Kwa wenye kufikiri kwa kutumia ubongo watakubali kuwa mpaka sasa hakuna kigezo Cha kuamua timu yenye mashabiki wengi.Ni makisio tu.

KARIBU KWENYE DODOSO.Wee Msukule si una akili Sana,karibu.
 
Unahalalisha "WALEZI"kutoa milioni 10 na maagizo ya kuvunja watu miguu na pua? embu kuweni na ubinadamu basi hata kama ni kukosa kombe miaka 4 msifike huko..HUO NI UGAIDI KABISA KULIKO HATA LAKI SITA YA MBOWE YA KUNUNUA UNIFORM ZA WALINZI WAKE
Bashite kamwe hakutoa maagizo kmc wawavunje miguu UTOPWINYO ila hela ya wauza mgodoro tumeona masharti yake kuanzia musoma hadi dodoma
Tena wakaze mara 10 zaidi, mnafurahi kushinda bao 8 bila
 
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini.

RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko Simba"

Je Mkuu wa Mkoa huyu wa Tanga, takwimu hizo amezitoa wapi? ili nasisi mashabiki tuweze kujiridhisha kama kweli.

Kwa mtazamo wako RC Malima anaweza akawa timu gani kati ya hizo mbili kongwe?

View attachment 1962815
Huyu ni mnyama ndiyo maana mwaka jana simba alikuwa anajiokotea kwa BUM
 
Sasa kwa nn watu hao hao wasiingie mechi za mikia!
Wewe uliona wapi iwe uwanjani au ktk vibanda vya mpra uwanja mzima au banda zima kukawa na mashabik wa timu moja,iyo simba day au yanga day bado kuna wengine wanakua timu tofaut,alafu pia ukichukua iyo takwimu ya tff na bado ya ligi bado itaibeba simba misimu minne simba ameongoza misimu mitatu yanga msimu mmoja nan zaid ,fuatilia misimu ya nyuma takwimu kama hizi utaona ,ata ivyo iki sio kigezo cha kusema ndio hawa mashabik wa timu fulan ,uwanja wa dotmund unaingza watu karbu elf 81 na karbu kila mechi unajaa wakat munich arena unaingiza watu kama elf 75 ,je kwamba Dortmund ina mashabik weng kuliko Bayern munich
 
Kilichotolewa na Tff Ni mapato ya viingilio mlangoni siyo idadi ya mashabiki wa yanga au Simba.

Je,kila anaeenda mechi ya Yanga au Simba ni shabiki hizo timu?.

Je ni lazima kila shabiki wa Simba au yanga au timu nyingine yyte aende uwanjani timu yake inapocheza?

Mitandao ya kijamii inaonyesha Simba ana followers milioni 2, Yanga laki 9
Je,kila aliye follow page au akaunt ya simba au Yanga ni shabiki wa hiyo timu?

Je, Ni kwanini watu wengi wakaifollow simba kuliko Yanga?

Je, ili kujiridhisha idadi hii km ni ya kweli Ni lazima watu wote milioni mbili waende uwanjani kwa wakati mmoja wa mechi moja ya Simba? Na yanga hivyo hivyo.

Nb:Kwa wenye kufikiri kwa kutumia ubongo watakubali kuwa mpaka sasa hakuna kigezo Cha kuamua timu yenye mashabiki wengi.Ni makisio tu.

KARIBU KWENYE DODOSO.Wee Msukule si una akili Sana,karibu.
Mkuu upande wa followers huwezi kutumia kama kigezo ukumbuka diamond Ana hao wanao m folo kuliko simba na yanga

Ila mapato huoneshi timu flani watu wengi waliingia itazama nami ndo nakwambia kwa timu mbovu ya yanga mwaka jana ni nani asiye shabiki angehangaika kwenda watizama
 
Wewe uliona wapi iwe uwanjani au ktk vibanda vya mpra uwanja mzima au banda zima kukawa na mashabik wa timu moja,iyo simba day au yanga day bado kuna wengine wanakua timu tofaut,alafu pia ukichukua iyo takwimu ya tff na bado ya ligi bado itaibeba simba misimu minne simba ameongoza misimu mitatu yanga msimu mmoja nan zaid ,fuatilia misimu ya nyuma takwimu kama hizi utaona ,ata ivyo iki sio kigezo cha kusema ndio hawa mashabik wa timu fulan ,uwanja wa dotmund unaingza watu karbu elf 81 na karbu kila mechi unajaa wakat munich arena unaingiza watu kama elf 75 ,je kwamba Dortmund ina mashabik weng kuliko Bayern munich
Yanga inapocheza na timu nyingine wale mashabiki ambao hawavai njano au kijani Mara nyingi ni wapinzani wao ,hata kwa mechi ya Simba wale ambao hawajavaa nyekundu ni hivo hivo ,mechi ambayo mashabiki hawakai pamoja ni derby tu ,ila hizi zingine wanavaa kawaida ile wasiletewe vurugu kwenye mechi za wengine
 
Yes tena ilikuwa 20 milioni na hakutoa condition ya kmc kuwarukia kung fu wachezaji wa utopwinyo wala kuwavunja miguu na pua, umeona tofauti na hela za sasa hivi? yaani inachezwa MMA uwanjani kisa milioni 10 ambayo wakigawana ni kama laki tatu kila mtu siku wauza magodoro wakitoa milioni 100 si wataingia na visu uwanjani?
Tulia wewe dogo..taratibu wewe...kwani aliyeahidi milioni 10 ametamka kuwa wawavunje miguu wachezaji wa Simba?! Hivi hukuona ile kungfu ya Kennedy Juma alivyomrukia mchezaji wa Biashara? I'll ilikuwa ni straight red card...lakini alipopigwa kiwiko huyo Kennedy Juma ndiyo red ikatoka...au hukuona msimu uliopita namna John Bocco alivyotaka kumvunja mguu Mukoko? Umesahau ya Chama alipomkanyaga Fee Toto kutaka kumvunja mguu? Na vipi kuhusu Wawa alipotaka kumvunja mguu Ditram? Wachezaji wote hao wa Simba hawakupata red Wala njano kwa kungfu hizo...acheni kulialia nyie...
 
Back
Top Bottom