Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha Sekeseke la Kinana na mzee Makamba,alijitokeza na kuwatisha wazee wa watu ati wakiongea watawatwanga. Kijana huyu maskini yalizidi kichwa.
Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Ajifunze na akome kutisha na kutukana watu wazima. Dunia hii ni duara