serio
JF-Expert Member
- Apr 15, 2011
- 7,340
- 4,734
Literary speaking. Umeona maskio yake yalivyo? Kama Nipashe wa gazeti la Uhuru miaka hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ila cha moto alikiona Iringa. Wahehe sio watu wazuri. Walimlaza makaburini. Kalala kitandani kwake kaamkia makaburini uchi wa mnyama. Watu kama hao dawa zao ndio hizo, wakijifanya wana mdomo unawaziba na ndumba tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingawa hii ishu alikana, ilinichekesha saaanaaaa