johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Manka umeshapanic!Hata wewe unakumbukwa kama jamvi la jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manka umeshapanic!Hata wewe unakumbukwa kama jamvi la jiwe
Wow! Hiyo neema itafika lini na huku kwetu kwenye ukoo wa Rwabutomize?Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
We mpuuz tu! Hiyo familia ya Makamba unaiona ina ubora gani? Huyo Makamba unamjua na vijembe vyake vya kipuuzi alivyotuingizia ktk siasa za TZ? Wanaofanikiwa siyo kwa sababu wana ubora, mfumo wenye wapuuz kama wewe, unamuweka hata mtu bwege madarakani.Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha Sekeseke la Kinana na mzee Makamba,alijitokeza na kuwatisha wazee wa watu ati wakiongea watawatwanga. Kijana huyu maskini yalizidi kichwa.
Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Ajifunze na akome kutisha na kutukana watu wazima. Dunia hii ni duara
Vijana wa Kikwete ni akina Riziwani, Mwigulu, Januari, Masha, etc. walifanya lolote la maana? Au mizunguko ya wizi na kusaka akina dada ndo mafanikio?Vijana wa JPM waliwaangusha sana vijana wenzao na unawaza hivi kumbe wakipewa madaraka ni mtihani? Kina Sabaya, Makonda, Ally Happy, Adam Malima, Kasesela, Gambo....shiiida! Kweli nyie ndio kuwaambia kina Mkapa, Makamba, Kikwete, Kinana kwamba watuachie nchi yenu wasiiharibu maana muda wao umekwisha na kwamba mtawapiga? Oooo sasa wamerudiiii wako sitting room mkiingia wao ndio wana files zenu. Ni funzo kubwa sana vijana kutumia ndimi na madaraka vema. Kuna kesho. Usitukane wakunga,..hujavuka mto....ona sasa mko roho juu juu. Pole Happy!! Jifunze
Yaan JF ya zamani ,miakaKama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha Sekeseke la Kinana na mzee Makamba,alijitokeza na kuwatisha wazee wa watu ati wakiongea watawatwanga. Kijana huyu maskini yalizidi kichwa.
Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Ajifunze na akome kutisha na kutukana watu wazima. Dunia hii ni duara
JF previous ilionekana ni ya Great thinker.Kwa sasa ni ya kiwango cha utopolo.Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha Sekeseke la Kinana na mzee Makamba,alijitokeza na kuwatisha wazee wa watu ati wakiongea watawatwanga. Kijana huyu maskini yalizidi kichwa.
Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Ajifunze na akome kutisha na kutukana watu wazima. Dunia hii ni duara
Hatuwezi kuchangia bila udini? Ni Waislam wangapi Rais Samia katengua nyadhifa zao? Nchi hii kuna watu ni wa dini sana. Mwalimu walimsingizia kajaza Wakatoliki ktk cabinet , wakati haikuwa kweli. Nachukizwa sana na watu wenye udini, ukabila na ukanda.Kilichomuokoa Ally Happi kutumbuliwa ni dini yake tu.
Chief H anaupiga mwingi kwenye dini na gender bila kujali uwezo wa mtu.
Na uzuri huwa tuna visasi ,tumemuweka kabatini siku yake ikifika tutamtoa na kumnyooshaAnajua kinachofuata
He je kama wazee hawaeleweki! Hivi watanzania wana akili gani mungu wangu. Tunashukuru tu wako wanaojielewa eti na mijitu inaunga mkono. Tunataka watu hardworking and ambao sio wanafiki kama Hapi!Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.
Mmojawapo ni huyu RC wa Mkoa wa Mara ndugu Alli Happi kipindi cha Sekeseke la Kinana na mzee Makamba,alijitokeza na kuwatisha wazee wa watu ati wakiongea watawatwanga. Kijana huyu maskini yalizidi kichwa.
Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Ajifunze na akome kutisha na kutukana watu wazima. Dunia hii ni duara
Walikuwa wanatumikia jamhuri ya jiwe kutoka Chato na walijua jamhuri hiyo itakuwa ya kudumu lakini katika hali wasiyoitarajia Mungu kapindua meza.
Chief mwanamume , mwanamke ni woman chief so and so.Kilichomuokoa Ally Happi kutumbuliwa ni dini yake tu.
Chief H anaupiga mwingi kwenye dini na gender bila kujali uwezo wa mtu.
Na kicheko chake ni kama Mahoka wa iliyokuwa RTDLiterary speaking. Umeona maskio yake yalivyo? Kama Nipashe wa gazeti la Uhuru miaka hiyo😂😂😂😂😂😂😂
Kama taifa tukifikia pabaya sana, yalijitokeza makundi awamu ya 5 yanaongeza hivyo hovyo bila kujali utu wala heshima na utii kwa waliowazidi umri. Ilikua ni kutukana na kuwatisha wazee wa watu bure pale walipotoa maoni yao.