RC Ally Happi usirudie tena utovu wa nidhamu, ulitaka Mzee Makamba atwangwe bure

Angalieni sasa neema inavyoinyemelea familia ya Mzee Makamba. Ukuu wa mkoa wenyewe kwa sasa ni tia maji tia maji, akifukuta tuu anaunyang'anywa anaangaliwa tu.
Wow! Hiyo neema itafika lini na huku kwetu kwenye ukoo wa Rwabutomize?
 
Mwandishi ndo mwenye roho mbaya mithiri ya fisi
 
Si alisema pia kikwete anyamaze wakati wake umepita...ndio vijana waelewe na wajifunze kuto kulewa madaraka. upepo unaweza badilika any time .
 
Kuna tuvijana tulikua tunavimba na maringo sana enzi za magufuli leo tuko kimya kama tumemwagiwa maji ya barafu ndio wajue nchi ni zaidi ya mtu na viongozi hupita na unanvyoishi ukiwa madarakani ndivo tutaishi na wewe ukitoka madarakani
 
Vijana wa JPM waliwaangusha sana vijana wenzao na unawaza hivi kumbe wakipewa madaraka ni mtihani? Kina Sabaya, Makonda, Ally Happy, Adam Malima, Kasesela, Gambo....shiiida! Kweli nyie ndio kuwaambia kina Mkapa, Makamba, Kikwete, Kinana kwamba watuachie nchi yenu wasiiharibu maana muda wao umekwisha na kwamba mtawapiga? Oooo sasa wamerudiiii wako sitting room mkiingia wao ndio wana files zenu. Ni funzo kubwa sana vijana kutumia ndimi na madaraka vema. Kuna kesho. Usitukane wakunga,..hujavuka mto....ona sasa mko roho juu juu. Pole Happy!! Jifunze
 
We mpuuz tu! Hiyo familia ya Makamba unaiona ina ubora gani? Huyo Makamba unamjua na vijembe vyake vya kipuuzi alivyotuingizia ktk siasa za TZ? Wanaofanikiwa siyo kwa sababu wana ubora, mfumo wenye wapuuz kama wewe, unamuweka hata mtu bwege madarakani.

Makamba alifunga mdomo, aliopombwa na Slaa aeleze sababu ya kufukuzwa ualimu. Sijui kama hadi leo anaweza kueleza sababu hiyo.
 
Vijana wa Kikwete ni akina Riziwani, Mwigulu, Januari, Masha, etc. walifanya lolote la maana? Au mizunguko ya wizi na kusaka akina dada ndo mafanikio?
 
Yaan ,humu JF ,
Yaan JF ya zamani ,miaka
JF previous ilionekana ni ya Great thinker.Kwa sasa ni ya kiwango cha utopolo.
 
Yaani nchi sijui ilikuwa inaenda Kapernaumu?

Yaani the cantre became lawlessnessly with no hope!
 
Kilichomuokoa Ally Happi kutumbuliwa ni dini yake tu.
Chief H anaupiga mwingi kwenye dini na gender bila kujali uwezo wa mtu.
Hatuwezi kuchangia bila udini? Ni Waislam wangapi Rais Samia katengua nyadhifa zao? Nchi hii kuna watu ni wa dini sana. Mwalimu walimsingizia kajaza Wakatoliki ktk cabinet , wakati haikuwa kweli. Nachukizwa sana na watu wenye udini, ukabila na ukanda.
 
He je kama wazee hawaeleweki! Hivi watanzania wana akili gani mungu wangu. Tunashukuru tu wako wanaojielewa eti na mijitu inaunga mkono. Tunataka watu hardworking and ambao sio wanafiki kama Hapi!
 
Walikuwa wanatumikia jamhuri ya jiwe kutoka Chato na walijua jamhuri hiyo itakuwa ya kudumu lakini katika hali wasiyoitarajia Mungu kapindua meza.
 

 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…