RC Ally Happi usirudie tena utovu wa nidhamu, ulitaka Mzee Makamba atwangwe bure


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingawa hii ishu alikana, ilinichekesha saaanaaaa
 
We mtoa mada utakua umetumwa tu, sasa hio familia inayo nyemelewa na neema ina ubora upi katika nchi hii, zaidi ya wizi, ufisadi, ubinafsi na mambo ya hovyo.
naskitika sana kuona mtu anapoteza muda kutetea mambo ya hovyo hovyo.any way kila mtu ana haki ya kutoa maoni
 
Hani huyo ni juha na hajitambui! Hivi Familia ya Makamba ilishafanya lipi la maana tofauti na wizi na ufisadi!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ingawa hii ishu alikana, ilinichekesha saaanaaaa
ulitegemea akubali kuwa kalazwa uchi makaburini. Maana hapo ingepelekea swali la pili juu ya nini hasa walimfanya akiwa uchiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huyu tangu mungu wake amekufa kawa mdebwedo sana.Yupo mkoa wa wanaume
 
Unajua kuwa Mentor wa Kigwangala, Mwigulu na Ally Hapi ni mmoja?

Yule Mentor alihakikisha vijana wake wako pande zote ili asije akapotez Pambano

Wapo waliokuwa upande wa Mzee na wapo waliokuwa upande wa pili lakin wote wana report kijiji cha Ujamaaa cha ....ga
Nashangaa mpaka muda huu mama hajamzingua huyu kijana,Au vile ni Ally sio David?
 
Ooh! That was brilliant, now I get it. Kwa hiyo zote hizo zilikuwa sarakasi uwanjani ndio maana Hapi bado anapeta
Kwa hiyo Kigwa nae yuko mbioni kurudi! Hakuna vijana wengine chini ya hiyo mentorship Mwigulu siyo kabisa.
 
Kuliibuka vijana wapuuzi waliojitia uuchwara wa kidikteta... huyu J makamba asipokuja kuwa raisi basi waziri mkuu hapo kialli kitashangaa naroho yake mbaya.
shangaa katibu uvccm eti kiongo si yule aliyetweza utu wavijana wenzie Kule arusha Kwa kuchapa fimbo watu wazima!! Chama cha fyongozi wahovyo ajabu
 
Na kule Mara atulize mazaga yake la sivyo watamfyeka hayo masikio wale watu hawana mzaha
 
Hawezi kutolewa huyo maana ni mswahili mwenzie na maza
 
CCM ni chama cha hovyo sn
 
Hapa duniani tunatakiwa kuwaheshimu watu wote (wakubwa na wadogo) kwa maana hujui ni nani atakusaidia kesho.
 
ulitegemea akubali kuwa kalazwa uchi makaburini. Maana hapo ingepelekea swali la pili juu ya nini hasa walimfanya akiwa uchi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ama kweli bongo sio maghorofa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…