Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Mbezi mwisho na gongo la mboto ndo funga kaziMwenge jioni panajaa kama zamani tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbezi mwisho na gongo la mboto ndo funga kaziMwenge jioni panajaa kama zamani tu.
Machinga hawaitaji miundo mbinu😅 unless uwabebe wapita njia uwapitishe juu magorofani mtapowahamishia😅Hawakujipanga mapema kabla ya kufanya maamuzi ya kuwahamisha.
Kiuhalisia ilitumika siasa zaidi ya mantiki, serikali yetu ione umuhimu wa kujenga miundombinu rafiki kwao ili kuleta tija.
Ilikuwa ni busara kama wangetenga maeneo rafiki yenye miundombinu inayofikika na huduma uhakika Kwa wamachinga,wao pia ni raia wa Tanzania,wanapaswa kulipa kodi zao kulingana na aina ya biashara wafanyayo.
Serikali iangalie mazingira rafiki yenye mzunguko mzuri(wingi wa watu),wawatengenezee na kuwapeleka huko.
As long as mchana kuko clear, sioni ubaya jioni wakitumia barabara hizo chache kwa biashara. Hata huko mbele ( Ulaya/ Asia) inafanyika hivyoBuguruni pale ukipita asubuhi unaona peupe ila ukipita usiku huwezi kuamini kama ndio hapo palivyojaa wafanyabiashara hadi pa kupita hakuna.
Sio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi.
Lakini sasa hivi inasikitisha kuona machinga hawa wanaanza kurudi tena polepole mmojammoja kimyakimya kwenye njia za miguu. Watu hawa wanatabia ya kuambukizana ugonjwa wa kupanga vitu chini kwenye njia za waenda kwa miguu. Yaani anaanza mtu mmoja kupanga chini viatu 3 kutesti mitambo na akiona hali ni shwari anaongeza pea 3 kesho. Na wengine wakiona mwenzao kapanga chini bila kelele na yeye analeta bidhaa yake, na mwingine, mwingine hadi njia zote zinazibwa.
Leo hii ukipita pale Buguruni utaona wale wauza nets na mapazia walianza polepole mmojammoja na sasa karibia hali anarudi upya kama awali.
Ni vizuri surveillance iwe ya kudumu ili kupunguza kurudia upya zoezi lilelile baada ya muda mfupi. Pia ni vema watu watafute maeneo halali sasa ya kuanyia biashara ili kuepuka kurupushani karibu na uchaguzi.
Halafu serikali iwatafutie machinga (wakwepa kodi)sehemu za kufanya biashara!!? Wao ni nani..Wakapange Fremu huko!sisi pia ni watanzania kama wao, tunahitaji haki yetu ya njia za kutembea kwa miguu tusigongwe na magari. Kusema hivyo ni sawa na mtu aje kwako kulala mlanoni kwako kwa kisingizio kuwa yeye hana sehemu ya kulala. Wamachanga sio kundi moja la watu kwamba ukiwapatie eneo lenye miundombinu basi umetatua kero yao. Hawa ni watu ambao idadi yao inaongezeka kila siku, ni maeneo gani utawayowapeleka ili watoshe wote? mfano, pale machinga complex kuna watu wako mule kwa zaidi ya miaka 15 sasa wakijiita machinga. Hivi ni kweli kwa miaka 15 yote wewe bado unastahili kuitwa machinga?, yaani hukui ili ipishe wengine (vijana) kwenye jengo.
Kwa taarifa Makonda ndiyo best RC wa D'salaam tangu Tanganyika ipate uhuru 1961Samahani mkuu nilikuwa nimeshakutukana nikidhani unataka mtaja Bashite, tutawapata tu mkuu.
Jion wanaruhusiw jiji loteMwenge jioni panajaa kama zamani tu.
Hiyo jioni ndio wananchi wengi wanahitaji njia zao za miguu maana ndo wamekaa vituoni kisubiri daladala kurudi majumbani kwao.Buguruni pale ukipita asubuhi unaona peupe ila ukipita usiku huwezi kuamini kama ndio hapo palivyojaa wafanyabiashara hadi pa kupita hakuna.
Weka pichaSio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi.
Lakini sasa hivi inasikitisha kuona machinga hawa wanaanza kurudi tena polepole mmojammoja kimyakimya kwenye njia za miguu. Watu hawa wanatabia ya kuambukizana ugonjwa wa kupanga vitu chini kwenye njia za waenda kwa miguu. Yaani anaanza mtu mmoja kupanga chini viatu 3 kutesti mitambo na akiona hali ni shwari anaongeza pea 3 kesho. Na wengine wakiona mwenzao kapanga chini bila kelele na yeye analeta bidhaa yake, na mwingine, mwingine hadi njia zote zinazibwa.
Leo hii ukipita pale Buguruni utaona wale wauza nets na mapazia walianza polepole mmojammoja na sasa karibia hali anarudi upya kama awali.
Ni vizuri surveillance iwe ya kudumu ili kupunguza kurudia upya zoezi lilelile baada ya muda mfupi. Pia ni vema watu watafute maeneo halali sasa ya kuanyia biashara ili kuepuka kurupushani karibu na uchaguzi.
Zowezi limefanyika kimagumashi. Kuna waliopo barabarani hawajaguswa mfano waliopo mbele ya ofisi kuu ya ccm DodomaSio vizuri kutimuana kila wakati kwakuwa zoezi la kutimua watu linazaa kelele na bughudha nyingi kwa wananchi. Tulifurahia kuona watanzania wenzetu wafanyabiashara ndogondogo wameziachia barabara za magari na njia za miguu za watanzania wenzao walizokuwa wamezivamia kwa maslahi yao binafsi.
Lakini sasa hivi inasikitisha kuona machinga hawa wanaanza kurudi tena polepole mmojammoja kimyakimya kwenye njia za miguu. Watu hawa wanatabia ya kuambukizana ugonjwa wa kupanga vitu chini kwenye njia za waenda kwa miguu. Yaani anaanza mtu mmoja kupanga chini viatu 3 kutesti mitambo na akiona hali ni shwari anaongeza pea 3 kesho. Na wengine wakiona mwenzao kapanga chini bila kelele na yeye analeta bidhaa yake, na mwingine, mwingine hadi njia zote zinazibwa.
Leo hii ukipita pale Buguruni utaona wale wauza nets na mapazia walianza polepole mmojammoja na sasa karibia hali anarudi upya kama awali.
L
Ni vizuri surveillance iwe ya kudumu ili kupunguza kurudia upya zoezi lilelile baada ya muda mfupi. Pia ni vema watu watafute maeneo halali sasa ya kuanyia biashara ili kuepuka kurupushani karibu na uchaguzi.
HATA RC Makala naona kama amezidiwa nguvu na wenzake ndani ya chama. Uholela wa mambo ndio kete pekee iliyobaki ya chama kupata kura. Uholela wakujifanyia kazi, biashara, kujenga, kufika kazini, kukamata watu, kuwaachia watu, kujilimia, kujifugia popote hata katikati ya jiji unakutana na kundi la mbuzi wamezagaa, jogoo wanawika hata Oyster bay. Mtu yeyote atakaejaribu kuuondoa uholela huu atakutana na upinzani mkubwa sana.Zowezi limefanyika kimagumashi. Kuna waliopo barabarani hawajaguswa mfano waliopo mbele ya ofisi kuu ya ccm Dodoma
Imekuwa sasa fursa kwa watendaji wanaosimamia zoezi shekhHATA RC Makala naona kama amezidiwa nguvu na wenzake ndani ya chama. Uholela wa mambo ndio kete pekee iliyobaki ya chama kupata kura. Uholela wakujifanyia kazi, biashara, kujenga, kufika kazini, kukamata watu, kuwaachia watu, kujilimia, kujifugia popote hata katikati ya jiji unakutana na kundi la mbuzi wamezagaa, jogoo wanawika hata Oyster bay. Mtu yeyote atakaejaribu kuuondoa uholela huu atakutana na upinzani mkubwa sana.
Lakini kwenye hili la kuwaondoa machinga Mh. RC Makala anayo support kubwa kutoka kwa Mama, sijui anakwama wapi.