RC Amos Makala mbona wamachinga wanarudi kwenye njia za miguu tena Dar es Salaam?

Machinga hawaitaji miundo mbinu😅 unless uwabebe wapita njia uwapitishe juu magorofani mtapowahamishia😅
 
Buguruni pale ukipita asubuhi unaona peupe ila ukipita usiku huwezi kuamini kama ndio hapo palivyojaa wafanyabiashara hadi pa kupita hakuna.
As long as mchana kuko clear, sioni ubaya jioni wakitumia barabara hizo chache kwa biashara. Hata huko mbele ( Ulaya/ Asia) inafanyika hivyo
 
Kwahyo hamtaki watoto wao waende chooni?
 
Wapiga kura hao, hawawezi kunyanyaswa milele
 
Halafu serikali iwatafutie machinga (wakwepa kodi)sehemu za kufanya biashara!!? Wao ni nani..Wakapange Fremu huko!
 
Baadhi ya mitaa, viongozi wa machinga wanapitia posho......imekuwa chanzo Cha mapato
Akili iliyotumika kulitengeneza tatizo haiwezi kutumika hiyohiyo kulitatua tatizo. Uholela ndio mtaji mkubwa wa CCM kwenye chaguzi.
 
Buguruni pale ukipita asubuhi unaona peupe ila ukipita usiku huwezi kuamini kama ndio hapo palivyojaa wafanyabiashara hadi pa kupita hakuna.
Hiyo jioni ndio wananchi wengi wanahitaji njia zao za miguu maana ndo wamekaa vituoni kisubiri daladala kurudi majumbani kwao.
 
As long as mchana kuko clear, sioni ubaya jioni wakitumia barabara hizo chache kwa biashara. Hata huko mbele ( Ulaya/ Asia) inafanyika hivyo
Kwani sababu za kuondolewa zilikuwa ni zipi?
 
Weka picha

Afu acha umbea kama mademu. Wivu umekujaa
 
Zowezi limefanyika kimagumashi. Kuna waliopo barabarani hawajaguswa mfano waliopo mbele ya ofisi kuu ya ccm Dodoma
 
Zowezi limefanyika kimagumashi. Kuna waliopo barabarani hawajaguswa mfano waliopo mbele ya ofisi kuu ya ccm Dodoma
HATA RC Makala naona kama amezidiwa nguvu na wenzake ndani ya chama. Uholela wa mambo ndio kete pekee iliyobaki ya chama kupata kura. Uholela wakujifanyia kazi, biashara, kujenga, kufika kazini, kukamata watu, kuwaachia watu, kujilimia, kujifugia popote hata katikati ya jiji unakutana na kundi la mbuzi wamezagaa, jogoo wanawika hata Oyster bay. Mtu yeyote atakaejaribu kuuondoa uholela huu atakutana na upinzani mkubwa sana.

Lakini kwenye hili la kuwaondoa machinga Mh. RC Makala anayo support kubwa kutoka kwa Mama, sijui anakwama wapi.
 
Imekuwa sasa fursa kwa watendaji wanaosimamia zoezi shekh
 
Mpaka mwezi April, hasa baada ya Pasaka; wamachinga wote watakuwa washarejea kwenye maeneo yale yale ya awali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…