RC Amour: Rais Samia hahusiki na sadaka ya Tsh. 5000 Pemba, ni upotoshaji

MANKA MUSA

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2014
Posts
924
Reaction score
1,096
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.

Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama inavyopotoshwa kwenye mitandao ya kijamii.

“Kuna mfanyabiashara mmoja amekuwa na utamaduni zaidi ya miaka sita wa kutoa sadaka kwa watoto mayatima kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa awamu ya kwanza zoezi la utoaji sadaka lilifanyika kwa ufanisi mkubwa. Awamu ya pili wananchi walipeana taarifa iliyohamasisha wananchi kufika kwa wingi."

"Waliokuwapo kwenye mpango walipata sadaka kama ilivyopangwa. Kwa ubinadamu wake wote waliokuwa nje ya mpango walipewa kila mmoja Sh 5,000 kama nauli ya kurejea nyumbani na sio sadaka,” Alisema RC Amour.

Aidha katika hatua nyingine, mfanyabiashara huyo anayejulikana kwa jina la Abas Haji anayemiliki hoteli kwenye eneo la Mgogoni Pemba, alisema “msaada huu sio kutoka kwa Mama Samia wala Ikulu au watu wengine. Msaada huu ni mimi kama mimi na familia yangu."

IMG-20240406-WA0005.jpg
IMG-20240406-WA0003.jpg
IMG-20240406-WA0004.jpg

Pia soma
Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000
 
Sawa

Nilitaka kushangaa wanavyodai 5000 ni ndogo kuliko Nauli 😂

Kazanzibar kalivyo kuna Nauli ya kuzidi 5000 kweli?! 🐼
 
CCM Kwa uwongooooo,juzi mtu amepanda ndege ndege imefuta safari hadi tarehe 9 mumekataa,yaani nchi ya mandacity
 
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.

Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama inavyopotoshwa kwenye mitandao ya kijamii.

“Kuna mfanyabiashara mmoja amekuwa na utamaduni zaidi ya miaka sita wa kutoa sadaka kwa watoto mayatima kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa awamu ya kwanza zoezi la utoaji sadaka lilifanyika kwa ufanisi mkubwa. Awamu ya pili wananchi walipeana taarifa iliyohamasisha wananchi kufika kwa wingi."

"Waliokuwapo kwenye mpango walipata sadaka kama ilivyopangwa. Kwa ubinadamu wake wote waliokuwa nje ya mpango walipewa kila mmoja Sh 5,000 kama nauli ya kurejea nyumbani na sio sadaka,” Alisema RC Amour.

Aidha katika hatua nyingine, mfanyabiashara huyo anayejulikana kwa jina la Abas Haji anayemiliki hoteli kwenye eneo la Mgogoni Pemba, alisema “msaada huu sio kutoka kwa Mama Samia wala Ikulu au watu wengine. Msaada huu ni mimi kama mimi na familia yangu."View attachment 2955585View attachment 2955586View attachment 2955587
Limekuwa Baya mnajaribu kuchepusha Kwa mama yenu. Lingesifiwa mngekuja na mapambio hapa. Hiyo katoa Samia sema wagawaji nao walijigawia.
 
RAIS SAMIA HAJATOA RUSHWA NI UZUSHI - RC KUSINI PEMBA

Mkuu wa Mkoa Kusini Pemba, Mattar Zahor, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.

RC Mattar Zahor Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani na Rais Samia kama inavyopotoshwa kwenye mitandao ya kijamii.

“Kuna mfanyabiashara amekuwa na utamaduni zaidi ya miaka 6 wa kutoa sadaka kwa watoto Yatima kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa awamu ya kwanza zoezi la utoaji sadaka lilifanyika kwa ufanisi mkubwa. Awamu ya pili wananchi walipeana taarifa iliyohamasisha wananchi kufika kwa wingi. Waliokuwapo kwenye mpango walipata sadaka kama ilivyopangwa. Kwa ubinadamu wake wote waliokuwa nje ya mpango walipewa kila mmoja Sh 5,000 kama nauli ya kurejea nyumbani na sio sadaka,” Alisema RC Amour.

Aidha mfanyabiashara huyo anayejulikana kwa jina la Abas Haji, mmiliki wa hoteli kwenye eneo la Mgogoni Pemba, alisema “msaada huu sio kutoka kwa Mama Samia wala Ikulu au watu wengine. Msaada huu ni mimi kama mimi na familia yangu,”
 
Attachments

  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 13.48.31.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 13.48.31.jpeg
    56.9 KB · Views: 4
  • WhatsApp Image 2024-04-07 at 13.48.35.jpeg
    WhatsApp Image 2024-04-07 at 13.48.35.jpeg
    69 KB · Views: 5
Atoe asitoe atajua mwenyewe tushazoea ma ccm ni majizi magaid tu
 
MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa za uzushi zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Mhe Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya Sh 5,000.

Amesema taarifa hizo ni uzushi na upotoshaji kwa sababu zoezi hilo halihusiani kabisa na Rais Samia kama inavyopotoshwa kwenye mitandao ya kijamii.

“Kuna mfanyabiashara mmoja amekuwa na utamaduni zaidi ya miaka sita wa kutoa sadaka kwa watoto mayatima kila ifikapo mwezi mtukufu wa Ramadhani. Kwa awamu ya kwanza zoezi la utoaji sadaka lilifanyika kwa ufanisi mkubwa. Awamu ya pili wananchi walipeana taarifa iliyohamasisha wananchi kufika kwa wingi."

"Waliokuwapo kwenye mpango walipata sadaka kama ilivyopangwa. Kwa ubinadamu wake wote waliokuwa nje ya mpango walipewa kila mmoja Sh 5,000 kama nauli ya kurejea nyumbani na sio sadaka,” Alisema RC Amour.

Aidha katika hatua nyingine, mfanyabiashara huyo anayejulikana kwa jina la Abas Haji anayemiliki hoteli kwenye eneo la Mgogoni Pemba, alisema “msaada huu sio kutoka kwa Mama Samia wala Ikulu au watu wengine. Msaada huu ni mimi kama mimi na familia yangu."

View attachment 2955585View attachment 2955586View attachment 2955587

Pia soma
Zanzibar: Wadaiwa kuitwa Mgogoni kwa Rais Samia na kupewa msaada wa Tsh. 5,000
tuamini lipi?
Wale waliochapwa mchana walikuwa wanavuta bangi?
 
Back
Top Bottom