RC Antony Mtaka kumsema Waziri mbele watoto umekosea. Kama watoto wakimdharau, watamheshimu nani?

Huyu toka yuko Mvomero (DC) hadi akawa RC, Simiyu, alikuwa moto hasa. Naona kama Mh Ndalichako (Waziri -Elimu) kmzingua naye ameamua kujibu.. Wanademka tu,mwendo wa kuparurana.. Vita vya panzi...
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu waziri wa elimu.

Hayo mamalaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
Ungegusia hata kidogo ambacho alimwambia waziri ili na sisi ambao ndiyo tunasikia toka kwao tupate japo kitu kidogo.
 
Yeye ndio anatakiwa aulizwe na Waziri kwanini mkoa wake umeshika nafasi ya mwisho kisha ndio aanze kujieleza. Mbona mikoa mingine imefanya vizuri kwanini uwe mkoa wake tu. Inamaana hiyo mikoa mingine haikufuata maagizo ya waziri.
Sasa akiamua kuja na mbinu zake kama hizi ili kuboresha ufaulu mkoani kwake shida iko wapi?.
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu waziri wa elimu.

Hayo mamalaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
Hii meseji unataka sisi tusome au RC Mtaka?
Mtumie private sms
 
Hivo hivo ndio sawa.... Hakuna liccm la kulionea huruma.... Wacha yaparurane na kuuana kabisa
 
Kama mimi yule profesa michakato simuelewagi kabisa.

Wakiwa na Magu walisababisha direction yangu ya Elimu kuishia ilipoishia kwa vikauli vyao vya hovyohovyo.

Nawamind kinyama yaan. Hata Mtaka amemjibu jutokana na ujinga wake profesa Mchakato.
Yule mama ile wizara walibugi,JK alimtoa kwenye ilimu,,wanaJF wakagomba sana na kudai alifaa uwaziri wa elimu,,JPM kwa heshima ya jf,akampa uwaziri wa ilimu,
Sasa tena mnasema hafai,,
Tatizo kubwa la nchi hii ni maadui watatu,,,Njaa,unafiki na ujinga..
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu waziri wa elimu.

Hayo mamalaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
Waziri yupi aliyekosewa heshima? Prof Ndalichako? Huyu mwenye broken English? Alimwambia Mkandarasi wa China "I will put you inside". Akimaanisha nitakuweka ndani yaani rumande.

Kwa kweli NDALICHAKO hajiwezi, nafuu RC Mtaka kamuanika wazi wazi
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu waziri wa elimu.

Hayo mamalaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
Hao wanaojiita wakuu wilaya hicho cheo kifutwe
 
Kweli sikuamini kama ni RC nimjuaye tangu SIMUYU,,,,,,MABAEGE KAKA SASA UMESIFIWA its true unaanya kazi nzuri mnooo...ila kwa hili noooooo...UMEOMBA MSAMAHA NGOJA TUONE KAMA MAMA NA YEYE ATAPOKEA aliwanya jamani MEBEGA MABEGA
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu Waziri wa Elimu.

Hayo mamlaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
Tatizo ni katiba tuliyonayo ni mbovu
 
Hiyo ndiyo busara. Wazo la Mtaka ni zuri lakini ingefaa sana afuate itifaki za kiutawala au angetangulia kuongea kwanza na Waziri husika ili amruhusu kuweka kambi za kitaaluma kwenye mkoa wake

Sent from my TECNO LC6 using JamiiForums mobile app
 
Hata kama Mtaka ana point lakini uwasilishaji wake wa message ni wa kishamba sana, ameonesha kama alikuwa na chuki binafsi na Ndalichako, hakuwa na sababu ya kurudia ile kauli mara mbili, kisa amevaa barakoa.

Naamini hata yeye Mtaka watoto wake wanasoma international schools, alichofanya pale ni kutafuta sifa za kijinga akapongezwe bar akienda kunywa jioni, au kutafuta sifa za kisiasa.

Binafsi ningependa Ndalichako ajiuzulu kulinda heshima yake, hawa vijana walioitwa wana mihemko wasipodhibitiwa wataleta vurugu huko mbele ya safari hasa ikizingatiwa na upole wa mamlaka yao ya uteuzi.

Kama unavyosema mleta mada, ni kweli amemchonganisha waziri na wanafunzi/wazazi/walimu, hii itamuweka katika wakati mgumu waziri huko mbele ya safari kwenye kutimiza majukumu yake.
 
RC Antony Mtaka kama watoto wakimdharau Waziri wetu je watamheshimu nani kumsema Waziri mbele ya watoto umekosea.

Hiyo sio nidhamu waziri yupo juu yako huwezi kumsema na kuwakataza watoto wasifuate maagizo yake.

Kama ulikua na nia hiyo ungesubiri umwambie kwenye mkutano wa viongozi wa serikali kuu mkiwa pamoja lakini sio kama hivyo.

Hao watoto wanajua waziri wa elimu ni kiongozi wako hata wewe ni boss wako wa elimu kwenye mkoa wako. Sasa hivyo ulivyo msema na kujiwekea mamlaka hadharani kwakweli umekosea sana.

Jitokeze tu uwaombe radhi waTanzania kwa kumkosea adabu Waziri wa Elimu.

Hayo mamlaka uliyoyatumia ulitakiwa uyatumie kwa maafisa elimu wa mkoa, maafisa elimu wa wilaya na wakuu wa wilaya kwenye mkoa wako.
RC atakuwa anavuta bange
 
Nileteheni mh MTAKA, elim yetu inachezewa Sana ,sion shida ya mh Mtaka

Sasa mh Mtaka ,fanya kitu kwenye jiji la Dodoma

Fanya mpango tupate shule tatu za jiji za mchepeuo wa kingereza ,unaweza fanya kuchukua shule tatu za kawaida ukazibadilisha, Shule za msingi za namna hii , zipo Mbeya jiji, na Zinafanya vizuri mfano , Shule ya msingi Azimio, Benjamin , chagua timu ikafanye study tour Mbeya jiji
 
Nimefedheheshwa sana na kauli ya mkuu wa mkoa wa Dodoma ndugu Antony Mtaka juu ya kuwataka wadau wa elimu na wananchi wa Dodoma kutotii muongozo wa wizara ya elimu wa kutaka wanafunzi wote masomo yaishe saa 9 alasiri.

Kwanza mkuu wa mkoa amepotoka kwa kutaka watu wasome muda wote bila kupumzika na ili atambue hilo anapaswa kujua kuwa Katazo lile linawasaidia walimu na wanafunzi kupumzika, kufanya shughuri zingine za kijamii n.k.

Elimu inatambua muda wa kupumzika ndiyo maana kila Aristotle, Maria Montisori na wengine wengi walihimiza mfumo wa mihula ili watoto wawe na uwezo wa kuyatambua maisha ya nje ya kitaaluma.

Kutokana na katazo la wizara ambalo kisera ni muongozo ni wazi wadau wote wa elimu wanafahamu umhimu wa wake kwa watoto wetu. Mkuu wa mkoa ni mtekelezaji wa maagizo na msimamizi wa sheria mkoani kwake, kupinga kwake tamko hili ni wazi amekosa busara na tayari ameshaota kiburi.
 
Tulia Dogo! Mtazoea tu taratibu taratibu. Mtaka ana hoja ya msingi sana.

Mna sera nyingi sana za kipuuzi na zilizo too theoritical, rather than practical. Na Waziri wako Ndalichako ndiyo bomu kabisa! Ana elimu tu ya kwenye makaratasi, ila kwa huku uraiani, hana tofauti na mtu ambaye hakumaliza hata elimu ya darasa la saba
 
Back
Top Bottom