Kama angekua kiongozi mzuri Huyo akiyetaka kutoa hela ya Rushwa angemfikisha mikononi mwa sheria, Kamanda wa TAKUKURU wa Mkoa na wilaya wako chini yake, Mbona hatujasikia wamemkamata yeyote!Viongozi wazuri wataendelea kutokea kanda ya ziwa.
Hii kanda ya Pwani ni Viongozi wapuuzi watupu.
Hongera RC Chacha japo nyumbu watapinga.
Hahaha.Nadhani zilikuwa ndogo, mgombea anapaswa kuongezwa dau
HahahaHamna kitu hapo!
Na ni RC lakini hawezi kumshtaki Mtu wa Group mojaMbona hakuita Takukuru?
HahahaAache nyodo, CCM wote wanakula hongo.