Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Upatikanaji wa hawa wa watu ni wahovyo sn ndiyo maana wanateuliwa watu wa hovyo kama huyuChalamila kichwa chake kina shida sehemu.Kipindi anapigwa chini alipokuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza aliongea pumba kama hizi naona anarudi tena kwenye default mode sasa
Hata kama ataondolewa itasaidia nini?LHRC wamelaani vikali, wamemsagia kunguni kwa Rais, sio kajistukia anataka kujiokoa.
Hata akibaki itasaidia nini?Hata kama ataondolewa itasaidia nini?
Itasaidia kuokoa gharama za kuteua RC mwingine ambaye naye ni mbovu tu kama Chalamila, tatizo ni namna ya wanavyopatikana teuzi za hovyoHata akibaki itasaidia nini?
Zakayomfupi kila kitu chake huwa ni kifupi hadi akiliNilishasema Chadomo wanakiwanda cha kufyatua uzushi, kama waliweza kumzushia mwenyekiti wao wa 21 kwa namna ile hakuna mtu aliye salama na ushushi wao.
Itamlindia heshima boss wake juu ya haki za binadamu /wanawake.Hata kama ataondolewa itasaidia nini?
gloves ni bei ndogo sana, though huwezi amini kuna wengine hata hizo hawana uwezo, though wengine pia wana uwezo ila wanatunishiana misuli kutaka serikali inunue wakati yeye ndio yupo kwenye hatari ya afya.RC Chalamila afafanua video inayo trend ikisema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"
Soma: RC Chalamila asema mjamzito anayegoma kununua gloves akajifungulie nyumbani. Hafai kuendelea kubaki madarakani
View attachment 3214871
Mtoto anayezaliwa atakuja kuwa mlipa kodi/mtumishi wa Serikali yaan vyovyote vile atakuwa na tija kwa Serikali.Vip hizo ngoma Serikali inafaidikaje nazo?Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio yako!Sasa kwanini upate pesa ya kuchezesha Ngoma ukose pesa ya kuchangia huduma ya kujifungua
HakikaHakuna kujitetea bwana, wewe ni bwaku bwaku tu unajulikana.
Umevimbiwa na madaraka.
Hata ukiongea kizungu wewe umezingua Bw. Chalamila.
TuwajibikeMtoto anayezaliwa atakuja kuwa mlipa kodi/mtumishi wa Serikali yaan vyovyote vile atakuwa na tija kwa Serikali.Vip hizo ngoma Serikali inafaidikaje nazo?Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio yako!
Ni aibu kwa Serikali tena ya nchi yenye kila kitu kama Tanzania kukosa gloves/kuwatoza raia wake wanunue gloves.Aibu aibugloves ni bei ndogo sana, though huwezi amini kuna wengine hata hizo hawana uwezo, though wengine pia wana uwezo ila wanatunishiana misuli kutaka serikali inunue wakati yeye ndio yupo kwenye hatari ya afya.
Nitake radhi Mimi siungi bando la 2000Unadhani wote wanafanya hivyo. Watu wanashida usiseme hivyo. Wewe unabangaiza walau unapata 2000 ya bundle.
Lakini ukweli ndiyo huo. Kwa sasa kila mtu ajitibu kwa gharama zake hadi bima ya afya kwa wote ipigiwe kelele mpaka ipatikane. Tunakataa lugha ya ufedhuli ila nani anatibiwa bure hapa Tanzania.
- Kama huna nauli kwenda Kigamboni piga mbizi
- Watanzania watakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe
- Kila mtu atauchukua mzigo wake
- Kama huna hela ya kuchangia huduma ya uzazi nenda kwa mumeo akuchane na mikasi
Ok ,huko kwingine hakuna bureMatibabu ya Wazee
Hahahaha,kayatimbaHuyu subiri mkutano uishe
Tunataka uwajibikaji na siyo kulinda heshima ya mtuItamlindia heshima boss wake juu ya haki za binadamu /wanawake.