RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

RC Chalamila afafanua video inayo trend aliyosema "Kama hutaki kununua Gloves kajifungulie nyumbani"

Chalamila kichwa chake kina shida sehemu.Kipindi anapigwa chini alipokuwa mkuu wa mkoa wa Mwanza aliongea pumba kama hizi naona anarudi tena kwenye default mode sasa
Upatikanaji wa hawa wa watu ni wahovyo sn ndiyo maana wanateuliwa watu wa hovyo kama huyu
 
Nilishasema Chadomo wanakiwanda cha kufyatua uzushi, kama waliweza kumzushia mwenyekiti wao wa 21 kwa namna ile hakuna mtu aliye salama na ushushi wao.
Zakayomfupi kila kitu chake huwa ni kifupi hadi akili
 
Sasa kwanini upate pesa ya kuchezesha Ngoma ukose pesa ya kuchangia huduma ya kujifungua
Mtoto anayezaliwa atakuja kuwa mlipa kodi/mtumishi wa Serikali yaan vyovyote vile atakuwa na tija kwa Serikali.Vip hizo ngoma Serikali inafaidikaje nazo?Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio yako!
 
Mtoto anayezaliwa atakuja kuwa mlipa kodi/mtumishi wa Serikali yaan vyovyote vile atakuwa na tija kwa Serikali.Vip hizo ngoma Serikali inafaidikaje nazo?Jaribu kutumia kichwa kufikiri sio makalio yako!
Tuwajibike
Mtoto ni wako, ulimtafuta mwenyewe, muandalie mazingira mazuri
 
gloves ni bei ndogo sana, though huwezi amini kuna wengine hata hizo hawana uwezo, though wengine pia wana uwezo ila wanatunishiana misuli kutaka serikali inunue wakati yeye ndio yupo kwenye hatari ya afya.
Ni aibu kwa Serikali tena ya nchi yenye kila kitu kama Tanzania kukosa gloves/kuwatoza raia wake wanunue gloves.Aibu aibu
 
Kuna kobaz mmoja anajifanya baba yake ni mtume Kamtia mimba shemeji yangu muda wa kujifungua umefika Binti kapewa rufaa kwenda mwananyamala hospitali akajifungua salama bill imekuja tzsh 270,000.

Huwez amini jamaa hajatoa hata senti mke na mtoto wamezuiliwa wodini week 2 nzima mpaka baba mkwe wake akalipa deni Kwa minajili ya kurudishiwa hapo baadae ila mpaka Leo hajalipwa na Mtoto ana mwaka sasa

Wanaume tusiishie kutia mimba tu laiti nguvu tunazotumia wakati tunatia hizo mimba zingetumika ipasavyo kwenye shughuli za kiuchumi nchi ingekuwa mbali sana kiuchumi.

Kuzaa sio shida bali shida kulea na malezi yenyewe yanaanzia pale mimba inapokuwa imeshatungwa.
 
  1. Kama huna nauli kwenda Kigamboni piga mbizi
  2. Watanzania watakula nyasi ili ndege ya Rais inunuliwe
  3. Kila mtu atauchukua mzigo wake
  4. Kama huna hela ya kuchangia huduma ya uzazi nenda kwa mumeo akuchane na mikasi
Lakini ukweli ndiyo huo. Kwa sasa kila mtu ajitibu kwa gharama zake hadi bima ya afya kwa wote ipigiwe kelele mpaka ipatikane. Tunakataa lugha ya ufedhuli ila nani anatibiwa bure hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom