RC Chalamila ahoji kama Bandari imeuzwa mbona soko la Ferry bado lipo. Asema waliopotosha wote wako ndani na wataendelea kukamatwa wakiibuka wengine

Kuna ambaye ameona hii ni hoja sahihi ya kwamba kwakua wavuvi wapo basi hapajauzwa?

Kuna uhusiano wa bandari na soko la Ferry?

Nafikiri RC ameharibu kuonyesha kwamba wanaokamatwa ni yeyote atakayetaka kuongelea ishu ya bandari.
Ulikuwa huelewi kuwa soko la ferry nalo pia ni bandari?
 
Kwenye siasa/ Utawala... issue huwa ni uhalali kutoka Kwa watu! Ulipata wajinga wanaokufuata una watunza kama.mboninya jicho! CCM Ina kundi la wajinga nandio wanaoeapa kula!
 
Seriously. Hivi hawa watu wanajua kweli matatizo wansyoingiza nchi au ni upofu wa 10%?
 
Mjinga sana huyu!! Nonsense.
 
Kuna ambaye ameona hii ni hoja sahihi ya kwamba kwakua wavuvi wapo basi hapajauzwa?

Kuna uhusiano wa bandari na soko la Ferry?

Nafikiri RC ameharibu kuonyesha kwamba wanaokamatwa ni yeyote atakayetaka kuongelea ishu ya bandari.
Kwa kweli tuna viongozi wenye upeo na akili duni kiasi cha kushangaza mno!!
 
Kwamba
Uuze Bandari ili iwaje?

Na ukiuza kwamba Serikali itaacha kupata hela zake pale au itakuaje Kiaje wajameni 😆😆

Kamata sukuma ndani hao
Kwamba Mkapa alipouza mashirika ya umma chini ya sera ya ubinafshaji au privatization mashirika hayo yaliondoka na kwenda nyumbani au chi za walionunua?

Kwamba miongoni wa waliokamatwa na Kwa hoja walizoipelekea mahakama kuu Kuna mahala walisema miongoni mwa hoja zao ni bandari imeuzwa au ni kukikukwa kwa katiba na sheria?
Kwanini mnatunga hoja na kwenda nazo mbele ya umma kuzijibu? Kwanini wasijibu hoja zinazoibuliwa na ziliko bayana!

Hujaona kwenye hukumu Kuna baadhi ya mambo mahakama imeshangaa? Au hujaona kwamba Kuna maeneo au provisions ambazo mahakama imekiri Zina dosari? Hujaona mahakaa ikikiri kuwa inajizuia kuingilia shughuli za Bunge hasa kwenye hoja iliyohusu bunge?
Huwa mnatumia Nini kufikiri?
 
Kuna ambaye ameona hii ni hoja sahihi ya kwamba kwakua wavuvi wapo basi hapajauzwa?

Kuna uhusiano wa bandari na soko la Ferry?

Nafikiri RC ameharibu kuonyesha kwamba wanaokamatwa ni yeyote atakayetaka kuongelea ishu ya bandari.
Kwani ukiuziwa eneo unabomoa kila kitu siku hiyo hiyo?? Umeuziwa nyumba ya familia halafu ndani yake kuna mgogoro unafukuta utaanza kubomoa siku hiyo hiyo.?

Ngoja tuone wakimuweka ndani na Anna Tibaijuka basi. Wao wanadhani wanazima moto kumbe ndio wanachochea moto.

Tatizo mama zu.mb.uku.ku na washauri wenyewe ndio hawa kina chalamila nao z.u.m.b.u.ku.ku. Eti tutaendelea kuwakamata.
 
Huyu nae si mwehu tuu…kwani kitu kuuzwa mpaka kihamishwe kilipo? Yani Rais Samia kama hawa ndio unawatuma wajibu hoja za mkataba wa DP world hakika magereza yatajaa kwa watuhumiwa wa Uhaini!
 
Ukimwi unamsumbua azingatie kula mbaazi zake la sivyo atapata kichaa zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…