Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Long live Mh AlbertView attachment 3176199Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es Salaam.View attachment 3176197
Ukiwa huna akili utasema hayo.Huu ni utaahira
Mungu hadhihakiwiView attachment 3176199Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es Salaam.View attachment 3176197
Kiki za kiboya sana hizi.. Mchonga asingevumilia huu upuuziView attachment 3176199Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es Salaam.View attachment 3176197
Hamna, nadhani kaamua kufanya comedy, ukikaribia wakati wa uchaguzi, mwanasiasa anaweza kucheza hata mdako au mchezo wa kuruka kamba na wanawake wakati yeye ni mwanaume.Sasa kuna maendeleo gani hapo chiembe
Ni mradi mkubwa wa miaka mingi kuvunja au kuyapunguzia nguvu makanisa makubwa duniani kama Katoliki, Lutheran, Anglican kwa kuwa ilifikia mahali yakajiona kwamba yanaweza kupimana ubavu na dola.Kwenye katiba mpya kuna haja ya kuondoa makanisa ya namna hii
Kama mnayatengeneza kwa ajiri ya kurinda chama cha mapu... nisawa lakin hao raia wanao tapeliwa hamuwaonei huruma?Ni mradi mkubwa wa miaka mingi kuvunja au kuyapunguzia nguvu makanisa makubwa duniani kama Katoliki, Lutheran, Anglican kwa kuwa ilifikia mahali yakajiona kwamba yanaweza kupimana ubavu na dola.
Njia pekee ni kutengeneza njia ya kuwa na makanisa meeeengi madogo madogo ili kuweka counter balance. It is paying off, Katoliki kupitia Kitima akivurumusha make no, anajibiwa na mchungaji huko Na si.
Na bado zile hospitali zao za kanisa, ziliwapa kiburi sana na wakazitumia ku-influence public opinion in their favour, and against the government. JPM akaamua kutandika hospitali za Wilaya kila mahali hata zilipo hospitali za kanisa (District Designated Hospital)
The same for universities, zamani serikali ilikuwa inawastahi, sehemu wanazoweka university au hospital, yenyewe haijengi. Serikali ikitega mgongo, Kitima na genge lake wanaitukana kwamba haileti maendeleo. Bora ijenge hata kama itamaanisha zitazamane uso kwa uso au fensi kwa fensi. Kila mtu atakula alipopeleka mboga
Biblia imeweka taratibu zipi za kuzika? Weka aya hapaMwenyewe alisema akifa azikwe kwa taratibu za Kiislam. Akumbuke watu walipigia mstari hiyo sentensi yake.