RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

Kweli kuna masikhala sana sasa hivi........huyu si juzi hapa alikuwa anaongea kama anajua kuwa hakuna mungu .......yaani alikuwa anatambia cheo na kutishia umma .......Leo ndio kajua kuwa mamlaka yote ni ya mungu??
 
View attachment 3176199Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es Salaam.View attachment 3176197
Kolabo ya matapeli hii. Huku tapeli Mwamposa na huku nanga Chalamila.
 
Huu ni utaahira
Kuna speech moja ya Albert chalamila kuhusu huduma ya mwamposa..itafute usikilize..

Pia,
Mimi nae andika hapa ni mtu timamu pale kwa mwamposa sio pa kubeza Kuna matendo makuu ya mungu nimeshuhudia pale hakuna maigizo mpaka leo sijajua ni kitu gani kinacho fanyika mwamposa anafungua Sana watu..

Huwezi kusanya na kudanganya wale watu wote vile Ile madhabahu Ina nguvu sanaa
 
Ulipoambiwa 25% ni wagonjwa wa akili ukielewa nini, watu milioni 15 mna ugonjwa wa akili, msijae pale kwanini?
 
Mungu hadhihakiwi!

Je anawakumbushs wenzake kutibu maovu waliofanya kwenye ule uchaguzi wa Nov. 27?

Ilianzia Arusha, sasa Dar, Kituo kinachofuata?
 
Kama limtu la maana vile kumbe muhuni tuu mmoja hivi wa hovyo
 
Back
Top Bottom