RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima' kwa mtumishi wa Mungu Boniface Mwamposa (Buldozer) unaofanyika Katika Viwanja vya Tanganyika Packers kawe jijini Dar es Salaam.
 
Long live Mh Albert
 
Mungu hadhihakiwi
 
Akasema wenye wivu mjinyonge😂😂😂
Ila msijinyonge, njooni muokolewe madhabahu ya Arise and Shine.

Eti wanasema wamerogwa
Yaani wao waliokesha wamerogwa
Ila walioko baaa wanalewa muda huu hawajarogwa?
 

Attachments

  • IMG_20241214_030457_016.jpg
    345.5 KB · Views: 4
  • IMG_20241214_030454_188.jpg
    375.5 KB · Views: 7
Kiki za kiboya sana hizi.. Mchonga asingevumilia huu upuuzi
 
Sasa kuna maendeleo gani hapo chiembe
Hamna, nadhani kaamua kufanya comedy, ukikaribia wakati wa uchaguzi, mwanasiasa anaweza kucheza hata mdako au mchezo wa kuruka kamba na wanawake wakati yeye ni mwanaume.

Sawa na Lissu kulalamikia chadema, wakati yeye ni top namba wa chama hicho, na mshauri mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa chadema
 
Kwenye katiba mpya kuna haja ya kuondoa makanisa ya namna hii
Ni mradi mkubwa wa miaka mingi kuvunja au kuyapunguzia nguvu makanisa makubwa duniani kama Katoliki, Lutheran, Anglican kwa kuwa ilifikia mahali yakajiona kwamba yanaweza kupimana ubavu na dola.

Njia pekee ni kutengeneza njia ya kuwa na makanisa meeeengi madogo madogo ili kuweka counter balance. It is paying off, Katoliki kupitia Kitima akivurumusha maneno, anajibiwa na mchungaji huko Nkasi.

Na bado zile hospitali zao za kanisa, ziliwapa kiburi sana na wakazitumia ku-influence public opinion in their favour, and against the government. JPM akaamua kutandika hospitali za Wilaya kila mahali hata zilipo hospitali za kanisa (District Designated Hospital)


The same for universities, zamani serikali ilikuwa inawastahi, sehemu wanazoweka university au hospital, yenyewe haijengi. Serikali ikitega mgongo, Kitima na genge lake wanaitukana kwamba haileti maendeleo. Bora ijenge hata kama itamaanisha zitazamane uso kwa uso au fensi kwa fensi. Kila mtu atakula alipopeleka mboga
 
Kama mnayatengeneza kwa ajiri ya kurinda chama cha mapu... nisawa lakin hao raia wanao tapeliwa hamuwaonei huruma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…