RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

Hongera kwake kwa kupokea upako.
 
Abubakar alipotoka hapo alipitiliza zake Bar, azana ilipolia akaelekea Msikitini akitokea Bar.
 
Akasema wenye wivu mjinyonge[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila msijinyonge, njooni muokolewe madhabahu ya Arise and Shine.

Eti wanasema wamerogwa
Yaani wao waliokesha wamerogwa
Ila walioko baaa wanalewa muda huu hawajarogwa?
Boraukae bar ujulikane uko bar, kuliko hao makafir wanafanya ufuska gizan wengine hapo wanafira nakufirwa wengine wana lala na malaya wana michepuko imejaa kila kona [emoji706][emoji706]
 
Anajua kama anaenda kinyume na imani yake asili ya kikatoliki?Atajua hajui si muda.
 
Hayo ni yao
Ila lengo la mkesha siyo Hilo. . Lengo ni kumtukuza Mungu wetu aliye hai..Muumba wa Mbingu, na Dunia.
Ni kama tu waislam wanaokula kitimoto.
Sasa huwezi kuichafua uislam wote Kwa sababu ya wapuuzi wachache.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…