RC Chalamila akiwa amezama katika maombi kwenye mkesha kwa Mwamposa

Kayanda bhebhe
 
Roho mbaya
 
Kuomba ni swala la mficho.kwa lugha nyepesi tunasema ni faraga.kupiga picha sio ustarabu wakati mtu anaomba
 
Nyerere hii kitu hakuipa nafasi, huwezi kuona mahali popote akiongea kanisani.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule wameongoza Maelfu ya Watu waliojitokeza katika Mkesha wa maombi ya 'Roho na Hekima'
Huyo mama ndiye anakesha hao wengine wanachombeza usingizi
 
Kupigana picha wakati wa maombi haijakaa poa.

Tunasali tuonekane kwa Mungu sio wanadamu.
Kuna jambo nimejifunza kwako, kuna uwezekano hata huyo DC pembeni ya RC amelazimishwa kimtindo aonekane kwenye picha kulinda nafasi
 
Kiki za kiboya sana hizi.. Mchonga asingevumilia huu upuuzi
Hapo akili yake yote inamuwaza Mwamposa, kama ingekuwa ina Mungu basi angefanya maombi na kujibiwa akiwa kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…