Like son like father.Ingawa hua anajitutumua lakini wapi?
huyu alifaa kua kwenye miji ya pemben huko lakin sio dar
eti kama hupendi foleni nenda kijijini
shame on him!
Umetisha sana yaani IQ yako ipo juuSema nini, leo nimeangalia kichwa chake na kile cha naibu waziri yulee kama vinafanana hivi.
Huyo hanga akili ndiyo maana huwa analipuka tuBado Una mambo ya kitoto sana tena mpuuzi. Kwani ukisoma ukanyamaza kuna shida gani?? Mada zingine siyo size yako.
Huyo hana tofauti na ChalamilaUlisikia wanamhitaji?
Huu ujumbe uwafikie (Waheshimiwa) Viongozi wengine wote, katika ngazi zote, Maana wapo katika hizo nafasi zao ili katatue changamoto za wananchi.Pls my brother, ondoka ofisini katatue changamoto za wananchi. Tatua changamoto hata za usafiri tu kama umeshindwa za miundombinu........Dunia ya dot com siyo nzuri....
Umeona namna wizara ya afya ilivyotinhishwa kwenye mitandao.....hao watu wanaishi kutafuta mapungufu na kelele zao zikizidi lazima ziondoke na mwanasiasa. Mtangulizi wako alifika Mwanza bila hata kutarajia.
Kabisa..Chalamila hapendi ukuu wa mkoa mnamlazimisha tu ππππ
Amevimbiwa SanaHuyo hana tofauti na Chalamila
Mwacheni mtu wetu wa BIA. Wanywa BIA tunamkubali sana hahahahaaaaa..Yule kichwa cha ubuyu ana matatizo ya akili ni vile wanajitoa ufahamu kuendelea kumuamini lakini alitakiwa awe mirembe kwa vichaa wenzie akipatiwa tiba