Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Like son like father.Ingawa hua anajitutumua lakini wapi?
huyu alifaa kua kwenye miji ya pemben huko lakin sio dar
eti kama hupendi foleni nenda kijijini
shame on him!
Magufuli aliwahi kuwaambia wananchi wa Kigamboni kuwa kama hawana nauli ya kulipia kivuko basi WAPIGE MBIZI.