johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yeye hajabishia kuchangia bali kampigia Mkuu wa mkoa Ili kuelimishwa na Siyo kunyanyapaliwaKaamua kutumia lugha fananishi. Ila pointi yake ni kuwa ni muhimu wateja wafahamu kuna KUCHANGIA huduma na sio porojo porojo.
😂😂😂😂Ok.Uje hapa Itunundu(nitakaporudi kutoka Nyamuswa)halafu tukae sebuleni na familia yangu uniulize nimejifungua mtoto gani!
Huo uzungu na lugha zao utazisikia kwa Philips na giriki wa Kalenga na Ruaha tu.
Na waelewe wasipochangia,dawa na vifaa vitaisha bila kupata fedha za kununua vingine.Hao wagonjwa watakaofuata watatibiwaje?Yaleyale ya mikopo ya JK na bodi ya mikopo elimu ya juu kutolipwa na kuzua tafrani tu.Kaamua kutumia lugha fananishi. Ila pointi yake ni kuwa ni muhimu wateja wafahamu kuna KUCHANGIA huduma na sio porojo porojo.
Mpaka kufikia kumpigia Mh, lengo lilikuwa ni kuchongea uongozi kwa Mamlaka.Yeye hajabishia kuchangia bali kampigia Mkuu wa mkoa Ili kuelimishwa na Siyo kunyanyapaliwa
Huyo mama lazima atakuwa ni mwanaccm ndio sababu alipata ujasiri wa kumpigia RC
Unajua maana ya kunyanyapaliwa?Hajatengwa wala kudharauliwa na mtu.Amepewa uhalisia.Ni juu yake kusuka au kupiga panki.Yeye hajabishia kuchangia bali kampigia Mkuu wa mkoa Ili kuelimishwa na Siyo kunyanyapaliwa
Huyo mama lazima atakuwa ni mwanaccm ndio sababu alipata ujasiri wa kumpigia RC
" Kamwambie mumeo anunue mkasi akuzalishe" Ni kunyooka au Taarabu?!! 🐼Tatizo tumezoea siasa huyu jamaa huwa ananyooka sikuzote
UKWELI HUWA HAUNA UTAMU😁😁😁Aisee , Sasa si kuna namna ya kuzungumza..
Where is diplomacy?
WATANZANIA WAMEZOEA KUDANGANYWA!!!Naomba Unitajie Makosa yako Binafsi naona Yuko Sahihi kabisa..
Tusichanganye siasa na Proffesional..
Hospitali haiwezi kuwa Na Vifaa Vyote na Daw zote kila Muda
Hahahaha 🤣 🤣 🤣 🤣" Kamwambie mumeo anunue mkasi akuzalishe" Ni kunyooka au Taarabu?!! 🐼
Unaweza kukuta huyo mama na RC wanajuana vizuri tu ndio sababu wakapeana na Namba za Simu Sasa Chala anaona Wivu kinyonge 😂😂😂
Wewe unadhani mama aliye Kwenye Uchungu Namba ya RC aliipataje?Mpaka kufikia kumpigia Mh, lengo lilikuwa ni kuchongea uongozi kwa Mamlaka.
Kama ingekuwa ni kupata ufafanuzi mbona hapo hapo hospitalini kuna kuwa na madawati ya malalamiko na maelekezo.
Ni muhimu watu wetu waelewe uhalisia juu ya huduma na namna ya kuchangia na sio porojo za bure.
Same mgonjwa akienda MNH akiambiwa alipie wala hapigi simu kwa mkuu wa Mkoa, why Temeke?!
UKWELI MCHUNGU😁😁😁Hiyu ni kiongoz huwa anaangalia kauli zake ? Mamlaka za uteuzi huwa mna double standards. Nn hiki?
Hatujui waliongea mangapi kabla ya kupewa sentensi hiyo." Kamwambie mumeo anunue mkasi akuzalishe" Ni kunyooka au Taarabu?!! 🐼
Unaweza kukuta huyo mama na RC wanajuana vizuri tu ndio sababu wakapeana na Namba za Simu Sasa Chala anaona Wivu kinyonge 😂😂😂
Majibu ya Chalamila yamejaa Wivu uliotukuka kama Siku ile ya DAS Kisarawe enzi za Shujaa 😂😂😂Hatujui waliongea mangapi kabla ya kupewa sentensi hiyo.
NB;Chalamila ni msanii.Si ajabu katunga story ili apate mwanya wa kufikisha ujumbe.Kaa chonjo saa mbaya hii.