RC Chalamila: Daraja la Saba wanaingiza mamilioni, wa Chuo Kikuu wanalaumu mitaala haiwawezeshi kujiajiri

Huwa wanaongea kwa kukariri tu wakati huo huo wao wameajiriwa. Ni kama anataka kila mtu awe mshirikina
 
Au alivyorudishwa mbona hakuukataa na kusema ana mishe zake?? Kwanza kakaa kichawa hadi anaboa yule jamaa

Afu kwanini watu ambao hawajasoma sana wakiona wasomi wanateseka kupata kazi kwao ni kama faraja??
Sijui ni nani aliruhusu mtu kama yeye kuwa mkuu wa mkoa wa jiji letu
 
Yeye kwanini hakuishia LA saba? Na je anaingiza pesa kwa, kutumia elimu gani? Hao LA saba wameanzisha kampuni gani? Hili ndio tatizo LA kushiba mpaka kuvimbiwa! Unaanza kujamba Jamba tu, huyu kenge aseme watoto wake wanasoma LA ngapi? Wataishia LA saba?
Yaani unamuona Diamond anapesa na ameishia LA saba! Basi, una jipa matumaini ohh kumbe elimu sio muhimu!
Akili, za, hovyo kabisa,
Sasa kama Hao la saba ndio wanafsnya maajabu, futeni vyuo vikuu,tukose Madonna harafu mkiumwa! Tezi dume waiteni Hao LA saba waje wawatibu!
 
Tatizo Tanzania kila mtu sabab kiongozi anaongea chochote mradi kapewa maiki bhas. Mana yeye mwenyew akiambiwa aache uongozi akajiajiri jicho linakuwa nyanya
 
Na wewe ingia hivyo hivyo kama ndio njia ya kutoboa 😁😁
 
Kwa sababu alijua akifikia Chuo Kikuu Kuna kazi atafanya ambazo ndio hizo anafanya keshajiongeza.
 
Kwan ameupata kwa kuuokota ?? Amepambana kusoma kujenga network kuloga ndo kafikia hapo.

Point ni ile ile kazi ya serikali ni kujenga barabara na shule kutafutautajiri ni kazi ya kila mmoja kivyake
 
Graduates hawawezi muelewe wamelalia masikio mithiri ya mama DPW ila kasema ukweli mchungu kabisa wenye kufikirisha na kuleta mabadiliko chanya.

Ukosefu huu wa ajira kutokana na ongezeko la wahitimu wa vyuo vikuu wenzetu Nigeria na hata Kenya wameupitia miaka mingi sana huko nyuma wakabadili mitazamo wakaanza kuchakalika huku na huko hadi makanisani sasa wanatengeneza money, ng'ambo wamejaa, viwanda vidogo, kati na vikubwa wameanzisha. Quality products waunda na nje zauzika vyema ila sisi bado tumelala usingizi wa pono hadi 2060.
 
Kwa nini yeye asijiajiri!!??
 
Mkuu, naona unakula ugali Kwa picha ya samaki.
Hilo unalolisema siyo la level ya wabongo.
Tuzungumzie hali tuliyonayo na tunatokaje?
 
Darasa la saba wengi ni wezi na wakwepaji Kodi pale Kariakoo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…