RC Chalamila: Daraja la Saba wanaingiza mamilioni, wa Chuo Kikuu wanalaumu mitaala haiwawezeshi kujiajiri

Ama kweli kwenye shibe hamjui mwenye njaa.
 
Wapeleken watoto zenu shule achen stori za vijiwen tajeni sampo ya hao la saba waliotoboa wanaoingiza mamilioni ni wangapi kulinganisha na wamachinga kariakoo....


Maisha hayana fomula
 
Endelea na boda yako mzee,utataka ukabidhiwe vyeo vingap ili ubadilishane na boda yako,mana huchelew kumwambia na Samia akupe urais umpe boda,it doesn't work that way,kaza pumbu izo utatoboa
 
Endelea na boda yako mzee,utataka ukabidhiwe vyeo vingap ili ubadilishane na boda yako,mana huchelew kumwambia na Samia akupe urais umpe boda,it doesn't work that way,kaza pumbu izo utatoboa
Mimi sipo uko nilitokaga kitambo hapa tunazungumzia wimbi kubwa la graduate ambao hawakufundishwa ENTREPRENEUR SKILLS tangu mwanzo wa ELIMU zao kama plan B then mnawaambia wajiajili Kwa kazi ambazo ni inferior ambazo wadogo zao wakiona wanasema bora wawe Diamond platinum kuliko ualimu,uhasibu na hata udaktar wa binadamu.....

Nawasemea wasakatonge ndugu zetu wadogo zetu na watu wengine wengi maana vijana wanataabika mtaani maana wame kukaririshwa notice Kwa miaka kibao then waki demand white collar jobs mnawaambia wajiajir....???

Cc. Mbunge JUMANNE KISHIMBA

Alafu kuhusu kuniambia kukaza KENGELE Utajisikiaje baba yako mzazi akiambiwa ivyo mbele yako tena na kijana mdogo.....


NB:
BRAIN 🧠 YOUR EYES 👀
 
Inaitajika muda mpaka iyo pressure ya kukosa ajira kuzoeleka Kwa graduate...

Umeeleza mengi sana ambayo mm nimeyaona Kwa macho miaka Ile ya JK kuingia majeshini ilikua rahisi tena hata bila kupitia JKT

Mdogo angu alimaliza form 4 na rafik yake mmoja ambae alipenda kututembelea nyumbani kwetu....rafik yake alipata div4 ya 28 mdogo angu akapata div 2 ya 19

Dogo akaenda five na six then chuo kikuu...rafik yake alikaa home kwao mwaka mmoja akaenda driving school akapata reseni ya udereva zikatokea nafasi za police akaomba akaenda CCP akapata job..

Dogo baada ya kugraduate na degree ndani na ufaulu mkubwa akaanza kutafuta job lakini hakufanikiwaa siku Moja yule rafik Ake Alie fail form four anakuja kumtembelea na Toyota crown yake MPYA kabisa....

Unadhani kwanini pressure ya maisha isiongezeke Kwa graduate maana alio dhani ame waacha nyuma kumbe wamemkata gepu....

All in all,
Vijana tuwasaidie wasikate tamaa siku zao zipo pia waji tahidi kuji adjust japo mdogo mdogo
Nina mifano Mingi ya jamaa na washikaji wengi hapa dar es salaam ambao waliamua kuacha professional zao na kuingia mtaa kupambania kombe kivingine ukikomaa na chochote ipo siku kitakutoa...

Neno Moja kwao ALUTA CONTINUE
 
Kinachofanyika Tanzania ni serikali kukwepa majukumu na wajibu wake na kuwaambia raia wake wakajihangaikie wenyewe. Elimu ndiyo msingi wa kila kitu na haiwezekani kila mtu awe mkulima.
 
Wa la saba hatumii vya shuleni anatumia vya kitaa,,,vya shuleni anavyotumia ni kusoma na kuhesabu tu vingine kajifunza kwa wazazi na mtaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…