Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao.
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye njia zilizotengwa kwa ajili yao.
Kuhusu mgogoro huo RC Chalamila amesema ni lazima madereva wa daladala wawe wabunifu katika kutatua shida hiyo na sio kutaka watu wa bajaji wasitumie barabara.