RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

Leo tusio na usafiri chamoto tutakipata nauli za bukubuku hizi dah na nilishazoea 400 inanifikisha nyumbani.
Pole mkuu ila kwa kawaida mbeya inakosa hadhi ya jiji ka kukosa mpangilio wa vitu kama hivi

Saiz bajaji zinatoka mwanjelwa hadi mbalizi na zingne igawilo hadi mwanjelwa na zipo za mwanjelwa hadi stand kuu na majengo
 
Watu mnashindwa kuelewa kwamba watu wanaomiliki dala dala ni wachache na wapo vizuri kiuchumi, wanaomiliki bajaji ni wengi pia ndio wanyonge wenyewe ukiwafukuza wasitumie bala bala unataka wakale wapi?
 
Kikubwa wadau hamja helewa
 
Back
Top Bottom