RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

RC Chalamila: Hatuwezi kuzuia bajaji kutumia barabara Kuu Mbeya

Hakika Chalamila yupo sahihi, watafute namna ya kukabiliana na hali hiyo, Bajaji nao wanatafuta Riziki
 
Hawa wenye daladala huwa wananyodo sana wacha tu tupande bajaj
 
Kama umeshindwa biashara ya hiace kanunue bajaji. Wengi wenye hiace ndo haohao wamiliki wa bajaji. Wameona tu wanatoa mfuko wa kushoto wanaweka mfuko wa kulia.
 
Hivi Chalamila na Chikumbalaga sukari yao ni ndugu? Mbona logic zao zinafanana!!!. Kama hiace zilipigwa marufuku kupewa ruti za barabara kuu liweje bajaji ziruhusiwe. Bajaji siyo chombo cha kutembea highway tena kwa mamia.

Hili suala la kujaza mabajaji mjini si sawa kabisa, hatuwezi ruhusu vurugu na kukosa utaratibu kisa watu wana tafuta ridhiki. Basi hata mwizi naye anatafuta ridhiki, kama kutafuta ridhiki ni sababu ya msingi sana.
 
Wanasiasa wa Tanzania wa awamu hii wamevuta nini?maana wao ufumbuzi wa tatizo lolote hata kama ni dogo tu wanatishia kutumia vyombo vya ulinzi na usalama as if wao ndio wenye majibu ya kila tatizo,why asikae kwenye round table na wadau wote ili mwafaka ufikiwe?RC you can definitely do better than this acha kutishia kutumia nguvu wakati haihitajiki.
 
Yaaani kero ya Leo kwa wasafiri ni kubwa sana
kwa maendeleo ya sasa ndani ya jiji tunatarajia kuona dala dala zikiondoka na mahali lake pachukuliwe na mabasi makubwa kama ilivyofanyika Dar,na si uondoe dala dala uweke bajaji,bajaji
ni nzuri zichukue sehemu na zifeedbarabara kuu,bajaji ziko faster,madereva wake makanjanja ,wanasabaabisha ajali za kila aina,hawana nidhamu na elimu ya uendeshaji wanaovertake pande zote,wanawatesa madereva wengine barabarani,ajabu hawakemewi wala kuelekezwa cha kufanya na traffic.wengi wanafikiri bajaji zinamilikiwa na waendesha bajaji ,kumbe! aa wapi hata kipato 95% in cha hao.tuweke miji yetu vizuri,tuondoe misongamano,@afanye kulingana na kibali/leseni ,maana kuna wamiliki wa dala dala ni wanyonge kweli
 
Kwa hii kauli ya huyu RC itafikia mahali daladala mjini zitakwisha na zitabaki bajaj! hii ni mbaya sana sana!
 
safi kabisa wajiongeze.mtu ana hela yake unazuia asipande bajaj awahi unataka akae kwenye dalaladal sehem ya dk 10 anatumia 45.
na ilr tabia yenu ya kukaa gat ijae walat hata ikiondoka njian abiria wamejaaa kibao ila lazima tu utakuta madaladla wameambiana sijui.mana kila sehem ukiend ndio zao unakuta anakaa kituon hata dk 45 kusubir ijae ilihali njian abiria nao wamejaa wanasubir usafir.mfano sabasaba -udom
 
Kuna umuhimu wa jiwe kurudi online very immediately unless otherwise huku tuendako kuna watu wataassume presidential power na wataanza kutoa maagizo yaliyopo hata nje ya nyadhifa zao. Kama huyu anayetishia kuingiza vifaru na military busses barabarani kubeba abiria[emoji53][emoji53]
ajabu ipi.anamuwakilisha nan pale? ukijijibu ndio utajua.na ngomo ni uvunjifu wa aman
 
Kila mtu anataka riziki lkn sasa, miji mikubwa hii wangeruhusu mabasi tu, bajabi ziwe nje ya miji
 
kwa maendeleo ya sasa ndani ya jiji tunatarajia kuona dala dala zikiondoka na mahali lake pachukuliwe na mabasi makubwa kama ilivyofanyika Dar,na si uondoe dala dala uweke bajaji,bajaji
ni nzuri zichukue sehemu na zifeedbarabara kuu,bajaji ziko faster,madereva wake makanjanja ,wanasabaabisha ajali za kila aina,hawana nidhamu na elimu ya uendeshaji wanaovertake pande zote,wanawatesa madereva wengine barabarani,ajabu hawakemewi wala kuelekezwa cha kufanya na traffic.wengi wanafikiri bajaji zinamilikiwa na waendesha bajaji ,kumbe! aa wapi hata kipato 95% in cha hao.tuweke miji yetu vizuri,tuondoe misongamano,@afanye kulingana na kibali/leseni ,maana kuna wamiliki wa dala dala ni wanyonge kweli
Mkuu kuna mambo yanaharibiwa na siasa na watu kukosa elimu ya mipango miji na matumiz yake
 
Hao dreva hiace nao wanachekesha sana serikali ikijenga Barabara mahali bajaji, hiace na toyo zikiwa nyingi ndio furaha ya serikali fursa ya ajira. barabara ni Mali ya wananchi wote wanataka wapite wenyewe hiyo barabara walijenga wenye hiace au? Imejengwa na kodi za wananchi wote..itatumika na wote bora wangeandamana kusikilizwa kero ila kuwazuia wenzao hell no! Halafu kila MTU na riziki yake.
 
nipo huku hali ni mbaya kwasababu wakati mwingine watu inabidi wapande root mbili na Mbeya kwakweli mzunguko wa fedha kwa watu wa kawaida ni mdogo sana japo ni wapambambanaji sana hasa wanawake ndizi inayouzwa 500 mpaka alfu mjni huku inauzwa 250 na inachomwa kwa kiwango cha juu sijapata kuona parachichi 200/- bado sana kwakweli
 
Back
Top Bottom