Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila amesema hatozizuia bajaji kupita barabara kuu kwa kuwa na wao wanatafuta riziki za kutumia na familia zao
Machi 15, Asubuhi Madereva wa daladala zinayosafirisha abiria katikati ya Jiji la Mbeya, wameanza mgomo kushinikiza Serikali iziondoe Bajaji kwenye njia zilizotengwa kwa ajili yao
Kuhusu mgogoro huo RC Chalamila amesema ni lazima madereva wa daladala wawe wabunifu katika kutatua shida hiyo na sio kutaka watu wa bajaji wasitumie barabara
Ila Ni kweli maana dhumuni la vyombo vya usafiri Ni kuwasafirisha abiria wafike wanapotaka kufika kwa wakati na bajaji pia ni chombo Cha usafirishaji wa abiria.
Aisee UK 😃😃Bajaji ni magari ya walemavu.. nenda UK kama utaona bajaji.
Leo tusio na usafiri chamoto tutakipata nauli za bukubuku hizi dah na nilishazoea 400 inanifikisha nyumbani.Yaaani kero ya Leo kwa wasafiri ni kubwa sana
... ilianza kama utani ila ndio hivyo limegeuka kuwa jeshi kubwa unstoppable!Hakuna wa kuizuia nguvu ya bajaji, hata moshi daladala zimepungua sana.
Punguza dharau uk sio mbinguni.Bajaji ni magari ya walemavu.. nenda UK kama utaona bajaji.
DuhPunguza dharau uk sio mbinguni.
Umesahau pia kuwa UK hakuna wajinga Kama weweBajaji ni magari ya walemavu.. nenda UK kama utaona bajaji.