Mpalakugenda
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 4,611
- 5,009
πHuyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.
Watu wenye vichwa modeli ile ni watata sana.Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.
Au ijengwe Machame πUpumbavu mtupu! Naona Aibu Mimi
Muhimbili ibakie kuwa Hospital ya mkoa au ya kanda Maalim ijengwe Hospital mpya iwe na jina jipya waite Tanzania National HospitalZaidi ya asilimia 99.9 ya watanzani wanaona juhudi na mambo mazuri anayoyafanya Mh.SAmia Hassan,hakika mama anaupiga mwingi,tumpe tena ten years ili tanzania iwe kama Dubai
Kitime huyo πππBomoa eeh...Bomoa mama tutajenga kesho...ooh mama
Au ijengwe Wang'ing'ombeAu ijengwe Machame π
Poti siyo?Kitime huyo πππ
Ikivunjwa yote sisi wenye magonjwa sugu kama Cardiovascular diseases tutatibiwa wapi ?π³RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Good ideaMuhimbili ibakie kuwa Hospital ya mkoa au ya kanda Maalim ijengwe Hospital mpya iwe na jina jipya waite Tanzania National Hospital
Kwa nini uibomoe? Kwa nini isijengwe nyingine kamq hiyo, Bagamoyo, au, mkuranga, au, Moro, au singing?RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila
Chanzo: Jambo TV
Jumaa Mubarak π
Pia soma:
Ijengwe pale Kibaha au MorogoroWenyewe wanasema huwezi kuelewa mpaka uwe na D 2 π€£π€£π€£π€£π€£
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Tena nje kabisa ya DarSasa kwa nini waibomoe wakati wangeweza kujenga nyingine eneo jingine?!
Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.Huyu naye kichwa kama kitunguu akaage kimya tu avute bangi zake. Hiyo habari ni ya kitambo tu kabla ya hiyo safari.