RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

Zaidi ya asilimia 99.9 ya watanzani wanaona juhudi na mambo mazuri anayoyafanya Mh.SAmia Hassan,hakika mama anaupiga mwingi,tumpe tena ten years ili tanzania iwe kama Dubai
Muhimbili ibakie kuwa Hospital ya mkoa au ya kanda Maalim ijengwe Hospital mpya iwe na jina jipya waite Tanzania National Hospital
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Ikivunjwa yote sisi wenye magonjwa sugu kama Cardiovascular diseases tutatibiwa wapi ?😳
 
Litafutwe eneo jingine ijengwe Hospitali mpya Muhimbili waiache iendelee kutoa huduma.
Tunahitaji Hospitali nyingi zinazotoa huduma sawa na muhimbili.Nenda leo pale kaone wagonjwa walivojazana !
Utadhani ni sokoni.Kumuona daktari tu kwa mfano MOI utafika saa 11 alfajir utaondoka saa kumina moja jioni !
Pia serikali iongeze madaktari hawatoshi !
 
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini

Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila

Chanzo: Jambo TV

Jumaa Mubarak 😀

Pia soma:
Kwa nini uibomoe? Kwa nini isijengwe nyingine kamq hiyo, Bagamoyo, au, mkuranga, au, Moro, au singing?
Hapo zinatqfutwa pesa, za, uchaguzi!
Itatumika bilioni 40,zingine zone, chakula ya cccm
 
Huyo kiongozi maskini anawaza kubomoa tu.

Inatakiwa ibaki makumbusho, tafuteni eneo ijengwe pengine.
 
Back
Top Bottom