RC Chalamila: Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa msaada wa Korea Kusini alipokwenda Rais Samia

Kwa mtu mwenye akili timamu hakuna misaada ya bure katika dunia hii. Kwan Korea wao nchi nzima hawana shida yoyote mpaka hela zimejaa kwenye bank zao hadi wanakoswa pa kuziweka. Baada ya miaka 3 mlima Kilimanjaro umebinafsishwa kwa miaka 1000
 
Mimi nadhani kubomoa yale Majengo kama MOI na JKCI na mengineyo mfano wa hayo ni ubadhirifu na tena niseme ni maangamii kama yale ya Waisrael wanayofanya kule Gaza.Labda Wabomoe yale mabovu kabisa na haya mengine ambayo bado ni mapya waboreshe kwa namna wanvyotaka.Huwezi ukaanza kubomoa nyumba kirahisi tu kisa umepata pesa.
 
Naona unatamani kila mtu aone kama mnavyoona nyie chawa!
Sio hivyo, mambo mazuri ya serikali ya awamu ya sita hayahitaji tochi kuyaona,miundo mbinu imeboreshwa,huduma za afya ndo usiseme,watumishi wa umma kupanda vyeo/ madaraja kwa wakati hili halihitaji tochi, mama apewe maua yake
 
Akili ndogo tu inayohitaji D mbili. Kwa ninj usijenge nyingine mahali pengine. Yani unabomoa ili ujenge wakati ungewezq kujenga zikawa mbili. Hii nchi ina ujinga mwingi sana
 
Sio hivyo, mambo mazuri ya serikali ya awamu ya sita hayahitaji tochi kuyaona,miundo mbinu imeboreshwa,huduma za afya ndo usiseme,watumishi wa umma kupanda vyeo/ madaraja kwa wakati hili halihitaji tochi, mama apewe maua yake
Hatuoni, ni hivi, hiki sio kizazi Cha ccm, hata mtumie nguvu kubwa kitulazimisha hayo maendeleo, lakini tumeshaichoka ccm. Tunawashukuru kwa haya mnaendeleo kidogo mliyoleta, lakini mkae pembeni Sasa.
 
Kile kiwanja cha Mbagala hawajengi tena maana walisema kuna hospital kubwa itajengwa. Chalamila ni mlevi
 
Kama mchezo mchezo mara imebaki kifusi tuuu🤣🤣🤣🤣 haki ya mzungu shahidi maharage aliyetuloga anasubiri Yesu aje na yeye ndiyo arudi kutuagua
 
chadema kupewa nchi hii itachukua miaka 1000 kuanzia leo,nadhani hata wewe hutapata muda wa kuyashuhudia haya unayoyatamani, chadema inakosa dira na uelekeo thabiti kwa wafuasi wake kuwaamini
Hatuoni, ni hivi, hiki sio kizazi Cha ccm, hata mtumie nguvu kubwa kitulazimisha hayo maendeleo, lakini tumeshaichoka ccm. Tunawashukuru kwa haya mnaendeleo kidogo mliyoleta, lakini mkae pembeni Sasa.
 
chadema kupewa nchi hii itachukua miaka 1000 kuanzia leo,nadhani hata wewe hutapata muda wa kuyashuhudia haya unayoyatamani, chadema inakosa dira na uelekeo thabiti kwa wafuasi wake kuwaamini
Ni kweli cdm haina dira kwa mujibu wa majizi ya ccm. Hata majizi ya KANU huko Kenya walikuwa wanawadanya wananchi wao kuwa wao tu ndio wanaweza kuongoza Kenya, leo hii KANU haipo, na Kenya ina uchumi mzuri kuliko sisi tuliotawaliwa muda wote kwa shuruti na majizi ya ccm.
 
Wizi! Ufisadi! Upigaji! Matumizi mabaya ya Fedha na Ofisi za Umma! Ubadhirifu! Rushwa! 🤬🤬🤬🤬
 
Jibu
 
Attachments

  • IMG-20240531-WA0043.jpg
    183.6 KB · Views: 2
  • IMG-20240531-WA0044.jpg
    86.2 KB · Views: 3
Safari ya kutafuta maendeleo ya familia yake na genge lake la watu wachache kwenye kichaka cha kuleta maendeleo ya nchi....
 
Wajenge mpya tu, hakuna haja ya kubomoa na kujenga
Kazi za kitaalamu, wanasiasa wanataka kuzifanya zao, matokeo yake ndio haya. Haya mambo ya mpango WA maendeleo waachiwe wachumi-Tume ya Mipango na wabunifu majengo. Sio wanasiasa au wale wastaafu waliochaguliwa Tume ya Mipango.
 
Na huku kuna Yule Waziri wa kujenga Barabara Kwa EPC+f Kwa kuongeza cha juu. Watalipa wadanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…