Yeye anajua watu ni wajinga hivyo watakuwa wamesahau. Huu ujinga ualinzishwa na dhalimu, magu maana ndio alikuwa anakwenda hadi kufungua miradi ya zamani, kisha anajifanya imejengwa wakati wake.
RC Chalamila amesema Hospitali ya Muhimbili itabomolewa yote na kujengwa upya kwa gharama ya Tsh billion 560 kwa Ushirikiano wa Tanzania na Korea Kusini
Kwahiyo wale mnaosemasema ooh Rais alikuwa India, Ufaransa na sasa Korea Kusini muelewe safari zake ni za kutafuta Maendeleo ya nchi yetu, amesisitiza Dr Chalamila