RC Chalamila Jeuri kwa watu wenye kipato cha chini imezidi sasa, mamlaka ya uteuzi ikiendelea kumlea watavuna wote

Ujumbe niliouelewa happa ni kwamba vijana wenye shughuli za aina hiyo na wanaoingiza kiasi hicho cha pesa na kupelekea kuyaona maisha ni magumu sababu ya kutoweza kumudu gharama zake, wengi wao huishia kuolewa.

Tufanye makisio, ni vijana wangapi wa kitanzania katika level yoyote ile ya maisha waliyopo hawawezi kumudu gharama za maisha hayo? Tukishapata idadi yao, hapo tunaweza tukapata makisio ya Vijana wa kiume ambao wameamua 'kuolewa' ili waweze kumudu gharama za maisha, pia tutapata idadi ya wale ambao wapo hatarini 'kuolewa' ili wasije wakachapika kimaisha.

Alichokiongea Chalamila ni uhalia. Tumekuwa tukipiga kelele sana kuhusu kuongezeka kwa matendo ya kishoga, sasa tumejua kwamba kumbe 'Shetani' ana singiziwa sana kuwa ndiye chanzo, kumbe uhalisia ni vipato vidogo, tamaa na ugumu wa maisha...now you know.
 
Anajitangaza kijanja huyo

Tumemstukia
 
Wote wanaompongeza huyu jamaa kwa dhihaka nitawaona ni machizi ningemuona wa maana kama angesimama siku moja mbele na kukemea ufisadi uliyofanywa na viongozi wa ccm Leo hii ukiuliza gas ya mtwara vipi mnaambiwa sio yetu
 
Ulimi. Ulimi. Ulimi. . . !
 
Tafasiri sahihi ya jitu jizi jitu lililotokea kwenye umasikini ulishindikana amepata sasa yanalia mbwata hapo ana uhakika kishaiba vya kula mpaka anaingia kaburini
 
Unaweza ukaongea jambo sahihi lakini ili uwe sahihi itategemea na wakati na mahali tofauti na hapo hutakuwa tofauti na mpumbavu.
 
Hawa si ndio walewale kutwa kucha kuwaambia vijana wajiajiri ilihali wao hawastaafu na hata watoto zao na familia member ajira yao kubwa ni serikalini na kwenye taasisi za umma
 
Mamlaka za teuzi huwa hazijali chochote zaidi ya kuteuwa kwa vigezo kuwa Chawa mtiifu wa Mama Wananchi watajijua kwasababu hata kura zao sio Dili sana hata wakichagua Viongozi hawatatangazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…