Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chalamila huwa anaropoka, tena anaropoka vibaya sana.Huyu naye amezidi kuropoka ropoka sana,siku zake zinahesabika..... yaani Tz unajiuliza hatuna watu smart Kweli kuwa viongozi mpaka tuwe na wajinga wajinga tu? Sijui Tz tumemkosea nini Mungu 😔
kumbe sio kosa lake kubwabwajaMla umbwa
Anavuta skankadah mkuu ana hasira huyu
Mkuu ukiwa na akili halafu ukatqe kufanya siasa, hapo ni moja kwa moja umekubali kuongozwa na wasio na akili.Huyu naye amezidi kuropoka ropoka sana,siku zake zinahesabika..... yaani Tz unajiuliza hatuna watu smart Kweli kuwa viongozi mpaka tuwe na wajinga wajinga tu? Sijui Tz tumemkosea nini Mungu 😔
Hajajifunza kwa Nape huyu........Hii kiburi ya RC Chalamila inatoka wapi? Hivyo ndivyo alivyowajibu wananchi wa Magomeni Magorofa ambao hawawezi kulipa kodi ya taka
View attachment 3050596
My Take:
Rais Samia huyu Chalamila anakuharibia Dar es Salaam big time
Wamepewa Bure kwa miaka Mitano.hizi nyumba walipewa bure,wamepanga au nini kinaendelea au waliuziwa wale wakaazi wa zamani wa vokota vibovu
Kuna Soko hapo hapo Kota karibu na TANESCO na wengi ni Wakazi wamefungua maduka na Meza za Soko.Zamani kwenye vile vikota walikuwa wanajiuzia mkaa, magenge, vitumbua na visheti. Huko ghorofani utauzaje mkaa. Mradi wowote wa kuwajengea maskini maghorofa huwa unafeli sababu masikini makazi yake ndiyo ofisi yake.
so hii service charge ya 30,000 ndo wamewekewa vitasaWamepewa Bure kwa miaka Mitano.
Wanalipia Service Charge 30,000 kwa Mwezi na kulipia Umeme wa Jengo na hivyo gharama ni Kama 50,000 kwa Mwezi.
Baada ya miaka 5, itabidi wazinunue au wauze kwa watu watakaokuwa wanataka kununua.
Ndiyo maana hata Magufuli alisema kabisa baada ya miaka 5, wengi watauza.
Ila kuna makandokando mengi hapo Magomeni Kota.
Azam tv burudani kwa wote.Ndugu Mteja, kuanzia 1/8/24 kutakuwa na mabadiliko ya bei. Kifurushi cha 25000 kuwa 28000; 17000 kuwa 19000; 10000 kuwa 12000; 6000 kuwa 7000; 3000 kuwa 4000; 500 kuwa 600; 1000 kuwa 1200.
Chalamila huwa anaropoka, tena anaropoka vibaya sana.
Lakini, uzuri mmoja wa mtu anayeropoka bila filter, huwa anasema ukweli anavyoujua yeye bila unafiki.
Na katika hili, serikali imejichanganya yenyewe.
Kwa sababu ilishauza nyumba zake kwa kujitoa kwenye habari za nyumba, kwa nini imejenga tena? Kwa nini serikali haikuachia sekta binafsi?
Hiwezi kufanikiwa kuwapa watu wasio na uwezo makazi mazuri bila ya kuwapatia nafasi ya kujiendeleza kiuchumi kuendana na makazi hayo.
Waliojenga nyumba ni TBA ambapo ni sawa na TRCL, ATCL, TAA, NIC etc.
TBA ni shirika na siyo Serikali kama Serikali chini ya Wizara.
Kwa kuwa nalifahamu hili tatizo, nakubaliana na Chalamila kwa hili.
Unaweza kuishi wapi Dar nyumba ya walau vyumba viwili na ukalipa kwa mwezi 50,000?
Na bado hiyo nayo unaona ni kubwa.
Hadi leo wanaishi BURE, je wataweza kuzinunua nyumba hizo maana baada ya miaka 5 ni lazima waziuze kama ulivyosema na Wananchi wazinunue. Sasa kwenye kununua ndiyo maana hata Magufuli alisema wengi WATAUZA.
Huwa wakibanwa kwamba watafukuzwa, wanalipa wote.
Pale Magomeni Kota ni Kota kwelikweli 🙂
Azam tv burudani kwa wote.