Makandokando gani mkuu? Hebu fungukaWamepewa Bure kwa miaka Mitano.
Wanalipia Service Charge 30,000 kwa Mwezi na kulipia Umeme wa Jengo na hivyo gharama ni Kama 50,000 kwa Mwezi.
Baada ya miaka 5, itabidi wazinunue au wauze kwa watu watakaokuwa wanataka kununua.
Ndiyo maana hata Magufuli alisema kabisa baada ya miaka 5, wengi watauza.
Ila kuna makandokando mengi hapo Magomeni Kota.
Manji tapeli yule uliza alivyojikombea hela kwenye mifuko ya hifadhi ya jamiiHuu ndio ukweli ambao wengi hawatapenda kusikia, ila hili la maji, nilisikia Waziri akiliongelea!
Hapo Magomeni Manji alitaka kupaendeleza, JPM akaamua kufanya siasa, akatangaza kuwajengea hao wananchi nyumba hizo ili kumkomesha Manji, wakati mezani kulikuwa na option ya kuwafidia waondoke. Tangu lini serikali kuu ikajengea mwananchi wa kawaida nyumba?!
Sasa wameshakuwa kama watoto, wanalia lia kwa kila kitu, hata wakishindwa ku-pass wind, watalalamika, kuna siku watasema hakuna sehemu ya kuchezea kigodoro, serikali iwafikirie kuwajengea.
Its possible hata design ya mradi huo haukulenga wale wenye maisha ya kuunga unga, unit title inahitaji wanaojiweza, wanakuwa na uongozi au mfumo wa kulipia gharama za pamoja.. waanze kulipia kodi ya majengo na ardhi
Chalamila mimi binafsi kuna vitu huwa nampinga humu waziwazi bila siri humu jamii forumsKila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota.
Nashauri kama mtu ukiona huwezi kukaa kwenye majengo ya TBA ya Magomeni basi hama uende Vingunguti"
View attachment 3050335
Wakala wa Majengo hakutakiwa ajenge ila awe Mkaguzi na hiyo Kazi ilitakiwa apewe NHC ambaye hadi Leo ndiyo anajenga Dodoma nyumba nyingi tu.Tovuti ya TBA, ukurasa wa "Sisi ni Nani" unaanza kwa kusema "Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) ni taasisi ya serikali chini ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi".
Sasa hapo utasemaje si shirika la serikali chini ya wizara?
Serikali ilikuwa haina haja ya kuwa na hilo shirika la TBA na hiyo sehemu ilitakiwa kuwa na nyumba za makampuni ya watu binafsi.
Pia, serikali ingeweza kuweka sheria kwamba kwa kila units fulani za nyumba zitakazojengwa, kuwe na units fulani za low income housing kuhakikisha watu wa kipato cha chini nao wanapata fursa ya kuishi mjini.
Kwa mpango huo, serikali ingejiondoa kwenye kazi za kuwa landlord, kama alivyotaka Mkapa alipouza mashirika ya serikali na kugawa nyumba zake, na watu wa kipato cha chini wangekuwa na nafasi bado ya kuishi mijini.
Ndiyo watu wanavyofanya hivyo.
Sasa sisi serikali yetu haijui inaenda au inarudi, mara inauza nyumba kwa sababu haitaki kuwa na nyumba, mara inajenga nyumba.
Ujinga mtupu.
Ukisoma maelezo ya Wachangiaji humu utayaona kabisa wanayagusiagisia kwa mbali.Makandokando gani mkuu? Hebu funguka
Yaani hata hii 30,000 huwa hawataki kulipa kwamba ni kubwa. Na ndicho anakiongea RC.so hii service charge ya 30,000 ndo wamewekewa vitasa
nayo inawachenga?
Mwamba yuko sahihi,Kila siku naona malalamiko kwenye ofisi yangu kutoka kwa wakaaji wa Magomeni kota mara wanalalamika bili ya Maji ni kubwa wameshindwa kulipa wengine wanalalamika kwamba bili ya taka imekuwa kubwa wakati hizo taka wanazalisha wenyewe hii inaonesha wameshindwa kukaa kwenye hizo kota.
Nashauri kama mtu ukiona huwezi kukaa kwenye majengo ya TBA ya Magomeni basi hama uende Vingunguti"
View attachment 3050335
Manji, alitaka kuingia makubaliano na GVt, alipie fidia wapangqji na ajenge apartments.Mani alitaka kufanya nn mkuu?
OkayManji, alitaka kuingia makubaliano na GVt, alipie fidia wapangqji na ajenge apartments.
That last line is SUPER POWERFUL!BTW;
Kawe pale kwa Mwamposa, napo watu walishagawana. Akaja Magufuli na kulirudisha eneo kwa NHC.
Sasa hivi NHC wanajenga nyumba pale na naambiwa watu wanazinunua hata kabla hazijaisha.
Hizi za karibu na Kawe Beach nazo amepewa kampuni ya Mhindi azimalizie ila ndiyo zinakwenda hadi 600M. na watu wananunua sana tu.
Ukiwa Kiongozi, ni heri ufanye kitu na ukaharibu kuliko kuogopa kufanya ili usilaumiwe.