RC Chalamila: Kujifanya wanasheria pamoja na kupenda kiingereza kunakwamisha maendeleo ya mkoa wa Kagera

Unavyoongea kama vile kagera ni nchi nyingine

Hebu nenda katumie hio fursa ya mipaka maana hujakatazwa....
Kabla ya kuwaketukana watu wa kagera hebu angalia vzr mfumo wa ufanyaji wa biashara za mpakani ndo utajua kwa hali iko hivyo

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Hakuna aliyetukanwa hapo huo ndo ukweli ndo maana hata maendeleo ya kagera ni madogo sana! Mnapitwa mpaka na geita na Simiyu mikoa mipya!
 
Yaani nakwambia kafanye kazi yuko ndo utawajua! Wajuaji wasiokuwa na maana! Akitokea mgeni anamaendeleo wanamfatilia mfano ukinunua archi bukoba utapata kesi zisizo na tija hutaamini!
Janja janja Jazzband
 
Hakuna aliyetukanwa hapo huo ndo ukweli ndo maana hata maendeleo ya kagera ni madogo sana! Mnapitwa mpaka na geita na Simiyu mikoa mipya!
Kabla ya kulaumu ni bora ufanye research kwa nini hali iko hivyo...

Watu baada ya kutafuta solution wanabeza personality, makabila nk ...serikali ambayo iko responsible kuleta maendeleo ya mkoa kwa sababu inachukua kodi ndo ya kwanza kwa kejeli na matusi...

Kuna professor mmoja juzi alisema " linapokuja suala la maendeleo ya mkoa wa kagera ambayo ni ya umma...serikali inajitetea kwa kuattack wahaya as wahaya wana serikali yao..lakin mikoa mingine no one cares about kabila"

Lakin hio simiyu sijui geita kote umaskini mtupu tena bora kagera kuna tatizo la miundombinu ya umma lakin maendeleo ya mtu mmoja mmoja yako vzr tazama hata makazi ya watu huko vijijini..

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Dah takataka Kama hizi eti ndo viongozi zinaongoza.... 😂😂😂😂
 
Acha kujifariji mkoa wa Simiyu unaizidi kagera nenda bariadi ukaone watu wake walivo na mafanikio ndani ya mkoa wao! Mfano hata geita iko vizuri kuliko kagera japo umasikini upo ila mzunguko wa pesa geita na wananchi wake wanavopiga kazi hawawafikii hata kidogo! Angalia senta zao kama Katoro linganisha na nyinyi huko?

Rc chalamila kuna mkuu wa wilaya hapo bukoba miaka 90 alileta zake kwa wavu kilichomtokeaga ilikuwa siri kwake !.

chalamila mkoani sio dar es salaam kila kabila lipo ajifunze ally happy naona.
 
Acheni utani bukoba ni sehemu ngumu sana kufanya kazi! Wahaya wanaujuaji usio kuwa na maana ndo maana hata maendeleo yanaenda pole pole sana!
Kama unapima maendeleo ya kagera kwa kuangalia Bukoba mjini we ni fala kwa kifupi. Nenda bikini utaona maajabu ambayo ukiacha Moshi hakuna tena
 
Acha kujifariji mkoa wa Simiyu unaizidi kagera nenda bariadi ukaone watu wake walivo na mafanikio ndani ya mkoa wao! Mfano hata geita iko vizuri kuliko kagera japo umasikini upo ila mzunguko wa pesa geita na wananchi wake wanavopiga kazi hawawafikii hata kidogo! Angalia senta zao kama Katoro linganisha na nyinyi huko?

Hivi unafahamu Kasulu tu iko pembeni lakini hakuna wilaya kagera inaipita kasulu kwa kuchapa kazi na kukua kwa mji ule, katoro achana na tunduma ambako watu saa 11 alfajiri chakula kimeiva, maduka mbinga saa moja asubuhi walishafungua zamani, masasi mapema tu biashara ziko wazi wao kuelezwa wafungue biashara mapema wanaona wameonewa huo nao ujinga sana
 
Back
Top Bottom