johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Uyu kaondoka jana soma apoMkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi tumeuona mkono wa Mungu ukiitokomeza Corona.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Una uhakika?!Uyu kaondoka jana soma apoView attachment 1462517
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi tumeuona mkono wa Mungu ukiitokomeza Corona.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Una uhakika?!
Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli ni mcha MUNGU huwezi kamwe kumlinganisha na Sizimwa!Magu Kwa Mbowe bd mtoto mdogo
Mh. Rais John Joseph Pombe Magufuli ni mcha MUNGU huwezi kamwe kumlinganisha na Sizimwa!
Tatizo lako Chalamila unakurupuka sana. Nenda tena kasome kwenye chuo cha uongozi (By Dr Bashiru Ally Kakurwa)Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Jenga tabia ya utu hata kama hujulikani kwa kutumia ID feki. Ndugu wa marehemu unawadhihakiUyu kaondoka jana soma apoView attachment 1462517
Maendeleo hayana vyamaMkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi tumeuona mkono wa Mungu ukiitokomeza Corona.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!