RC Chalamila: Mbowe aliona shetani, majeneza na vifo lakini Rais Magufuli alimuona Mungu na kuishinda Corona

serikali ya kikristo
 

Sikuwahi kudhani kuna binadamu anaweza kutumia akili yake kuona wanadamu kwa macho ya kiMungu na kusema fulani ni msafi kuliko fulani.

Mathayo 23:25
 
Wanaccm ni chaguo la Mungu, je, binadamu wengine ni chaguo la shetani?
 

Taratibu na mdomo wako.
Ina maana wote wanaovaa barakoa ni mashetani?
Kujikinga ni jambo la muhimu sana na hata hao viongozi wa nchi japo unasema walimwona Mungu, pia wanashauri watu wajikinge na COVID19
 

Taratibu na mdomo wake. COVID19 ikipiga hodi kwake ndipo atakapo jitambua.
Ina maana wote wanaovaa barakoa ni mashetani?
Kujikinga ni jambo la muhimu sana na hata hao viongozi wa nchi japo anasema walimwona Mungu, pia wanashauri watu wajikinge na COVID19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…