johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Hakika mkuu!Maendeleo hayana vyama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu!Maendeleo hayana vyama
serikali ya kikristoChalamila yuko sahihi mtu yeyote muovu mwenye mashetani huona tu Yale ambaye Mungu wake shetani anataka kufanya . Chadema Mungu wao shetani ndio maana waliona tu matendo ya shetani tarajiwa
Mtu wa Mungu humwona tu Mungu hata ndani ya Moto.Shadrak meshaki na Abednego walimwona Mungu kwenye Moto japo Moto ulikuwepo hawakuona Moto vivyo hivyo Daniel ndani ya Tundu la Simba hakuona Simba japo walikuwepo alimuona Mungu
Magufuli ni mtu wa Mungu kwenye Corona hakuona corona alimuona Mungu tu japo corona ilikuwepo na tumeshinda Kama taifa
Chadema na miamini mishetani mienzie akina Askofu Bagonza wa KKKT na Askofu Niwermugizi wa Katoliki waliona mashetani tu na vifo visivyohesabika wakafungia Hadi watu wasiabudu kanisani
Hongera mtu wa Mungu Maguifuli .
Pepo Mbowe,pepo chadema, pepo Niwermugizi,pepo Bagonza toka kwa jina la Yesu
Chalamila yuko sahihi mtu yeyote muovu mwenye mashetani huona tu Yale ambaye Mungu wake shetani anataka kufanya . Chadema Mungu wao shetani ndio maana waliona tu matendo ya shetani tarajiwa

Haya mahaba yenu na siasa mpaka mnapoteza ufahamu wenuMagufuli anamuogopa Mbowe kuzidi mpaka Mungu .
KweliUna uhakika?!
Ndio sababu ya kifo chake?Huyo Lawyer kutoka Bukoba wa serikali walikuwa wanawapiga watu mvua bila hatia kisa waifurahishe ccm
AiseeeHata kama amekufa mtu mmoja kwa covid 19 ..serikali imekosea
Wapi kafia?Covid 19 yupo Tena anaua kwa Kasi sana.
Mwingine kafariki Jana usiku Ni mtumishi wa umma katoka seminani dodoma. Dalili zote za kovid ingawa mpaka Sasa hawajasema Sababu zilizo pelekea kifo chake .
Chukua tahadhari!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaccm ni chaguo la Mungu, je, binadamu wengine ni chaguo la shetani?Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.
Lakini Rais Magufuli alimwona Mungu akazipeleka haja zetu mbele zake, Mungu akatupigania nasi tumeuona mkono wa Mungu ukiitokomeza Corona.
Chanzo: Ayo tv
Maendeleo hayana vyama!
Uyu.......HuyuUyu kaondoka jana soma apoView attachment 1462517
Vipi kule wanakokufa 2000 kwa siku serikali hazijakosea?Hata kama amekufa mtu mmoja kwa covid 19 ..serikali imekosea
Chalamila yuko sahihi mtu yeyote muovu mwenye mashetani huona tu Yale ambaye Mungu wake shetani anataka kufanya . Chadema Mungu wao shetani ndio maana waliona tu matendo ya shetani tarajiwa
Mtu wa Mungu humwona tu Mungu hata ndani ya Moto.Shadrak meshaki na Abednego walimwona Mungu kwenye Moto japo Moto ulikuwepo hawakuona Moto vivyo hivyo Daniel ndani ya Tundu la Simba hakuona Simba japo walikuwepo alimuona Mungu
Magufuli ni mtu wa Mungu kwenye Corona hakuona corona alimuona Mungu tu japo corona ilikuwepo na tumeshinda Kama taifa
Chadema na miamini mishetani mienzie akina Askofu Bagonza wa KKKT na Askofu Niwermugizi wa Katoliki waliona mashetani tu na vifo visivyohesabika wakafungia Hadi watu wasiabudu kanisani
Hongera mtu wa Mungu Maguifuli .
Pepo Mbowe,pepo chadema, pepo Niwermugizi,pepo Bagonza toka kwa jina la Yesu
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema katika kuikabili Corona mh Mbowe wa Chadema aliona shetani, majeneza na vifo ndio maana aliogopa na kukimbilia chumbani kujificha yeye na kundi lake.