Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaMzizima ujuaji mwingi mno. Inabidi sometimes Kiongozi ajifyatue kidogo ili kuweka mambo sawa.
-Kaveli-
[emoji23][emoji23][emoji23]
Speech yake Mimi huwa ni kuangua vicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna moja ya lile soko gani sijui Mabibo sijui Ubungo ,anasema usiku hajalala,anashika silaha anaweka hapa,anahamisha pale[emoji23][emoji23][emoji23]anajiuliza nani huyo anatishia watu [emoji23][emoji1787]
Jana tu kwenye maafa ya moto Kariakoo ndio hajachekesha angalau alikuwa serious.
maneno mengi tu, hana lolote, alikuwepo makonda kabla yake akijifanya Dar ndio mali yake, akitembea mtaani na mitako yake mikubwa utasema mungu mtu. Haya yuko wapi siku hizi, hata Tako limekua dogo. Ukimzabua hata kofi hawezi kukufanya kitu. Leo akauja huyu kipepe wa Sani anajifanya bingwa.
Anakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..
Aliporipot kama RC wa mkoa wa Dar, alisema alikuwa ananunua wauza fyoko akiwa mwanafunzi zaman siku Moja akamnunua mama mmoja walipoenda kufyokoana akaona mama ana jambia Wacha jamaa akimbie kama ndege za Su 35
KabisaRC Chalamila ana style yake fulani hivi ya kuongoza. Ni mtu wa kujifyatua hivi... anakuchekesha huku anafikisha ujumbe kusudiwa.
-Kaveli-
Wewe mpuuzi unashabikia vurugu halafu watu wakijibu mapigo mnasema tuilinde amani mara CHADEMA ni chama cha matusi na vurugu halafu mnataka utawala usiofuata sheria hiyo ni nchi au genge?Ni kuchapa tu ngumi na makofi majitu kama ya kina Mdude ni kupiga tu ngumi mpaka yanyooke na kushika adabu
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.
Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa πKamati ya ulinzi na Usalama mkoa? au anategemea ulinzi wa 'mashine' binafsi?
-Kaveli-
Life is treating Me well , Mkuu KaveliMtakatifu Anne... missment mob pia my dearest.
How's life treating you?
-Kaveli-
Mweupe tu huyu,kamati ya ulinzi na usalama inambeba tuKwamba bila hiyo kamati ni mweupe tu kwenye uwanja wa ndondi na self defense. π
Ila mkuu usisahau kuwa 'na hapa ipo' π
-Kaveli-