RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

wanaMzizima ujuaji mwingi mno. Inabidi sometimes Kiongozi ajifyatue kidogo ili kuweka mambo sawa.

-Kaveli-
[emoji23][emoji23][emoji23]
Speech yake Mimi huwa ni kuangua vicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna moja ya lile soko gani sijui Mabibo sijui Ubungo ,anasema usiku hajalala,anashika silaha anaweka hapa,anahamisha pale[emoji23][emoji23][emoji23]anajiuliza nani huyo anatishia watu [emoji23][emoji1787]

Jana tu kwenye maafa ya moto Kariakoo ndio hajachekesha angalau alikuwa serious.
 
maneno mengi tu, hana lolote, alikuwepo makonda kabla yake akijifanya Dar ndio mali yake, akitembea mtaani na mitako yake mikubwa utasema mungu mtu. Haya yuko wapi siku hizi, hata Tako limekua dogo. Ukimzabua hata kofi hawezi kukufanya kitu. Leo akauja huyu kipepe wa Sani anajifanya bingwa.
 
RC Chalamila ana style yake fulani hivi ya kuongoza. Ni mtu wa kujifyatua hivi... anakuchekesha huku anafikisha ujumbe kusudiwa.

Mzizima wajuaji mob. Lile jiji linahitaji RC achangamke kidogo.

-Kaveli-
 
Matokeo ya kutumia ngada kisiri ndo haya sasa ameanza mnyea boss wake...
 
Anakwambia kama unajiakini njooo tuzichape kwanza..

Aliporipot kama RC wa mkoa wa Dar, alisema alikuwa ananunua wauza fyoko akiwa mwanafunzi zaman siku Moja akamnunua mama mmoja walipoenda kufyokoana akaona mama ana jambia Wacha jamaa akimbie kama ndege za Su 35

Hatari sana mkuu, lakini salama. 😎

-Kaveli-
 
Ni mashine Gani hiyo anayoisema anachomoa 😂🤣
 
Nimegundua Tanzania ukiwa mgonjwa wa akili badala ya watu kukupa msaada wanakutengezea mazingira uongee/ufanye vituko huku wakicheka na kukupigia makofi.
 
RC Chalamila ana style yake fulani hivi ya kuongoza. Ni mtu wa kujifyatua hivi... anakuchekesha huku anafikisha ujumbe kusudiwa.

-Kaveli-
Kabisa
Ni jamaa namuelewa sana

Btw, you're missed,Kaveli.
 
Ni kuchapa tu ngumi na makofi majitu kama ya kina Mdude ni kupiga tu ngumi mpaka yanyooke na kushika adabu
Wewe mpuuzi unashabikia vurugu halafu watu wakijibu mapigo mnasema tuilinde amani mara CHADEMA ni chama cha matusi na vurugu halafu mnataka utawala usiofuata sheria hiyo ni nchi au genge?
 
Huyu pimbi wa Kihehe anaongea hayo kwa vile yuko na Polisi nyuma yake. Otherwise huyo kibushuti hana lolote katika utaalamu wa ndondi.

Mtu kiduchu kama Chalamila na kichwa kile kama kiazi mbatata hawezi akapigana hata na konda wa daladala. Atapigwa kama mwanamke aliyefumaniwa

Mkuu, nikukutanishe naye halafu mpande ulingoni?

Amesisitiza kabisa kuwa kwenye suala la 'matano matano' a.k.a 'ngumi jiwe' yeye ni moto wa kuotea mbali.

-Kaveli-
 
Kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa 😄

Ova

Kwamba bila hiyo kamati ni mweupe tu kwenye uwanja wa ndondi na self defense. 😂

Ila mkuu usisahau kuwa 'na hapa ipo' 😎

-Kaveli-
 
Kwamba bila hiyo kamati ni mweupe tu kwenye uwanja wa ndondi na self defense. 😂

Ila mkuu usisahau kuwa 'na hapa ipo' 😎

-Kaveli-
Mweupe tu huyu,kamati ya ulinzi na usalama inambeba tu
Si unakumbuka alivyokuwa nje ya kazi alituliaa 😄
Aliporudi makeke yakaanza, cheo si mchezo

Ova
 
Back
Top Bottom