Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23]wanaMzizima ujuaji mwingi mno. Inabidi sometimes Kiongozi ajifyatue kidogo ili kuweka mambo sawa.
-Kaveli-
Speech yake Mimi huwa ni kuangua vicheko[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna moja ya lile soko gani sijui Mabibo sijui Ubungo ,anasema usiku hajalala,anashika silaha anaweka hapa,anahamisha pale[emoji23][emoji23][emoji23]anajiuliza nani huyo anatishia watu [emoji23][emoji1787]
Jana tu kwenye maafa ya moto Kariakoo ndio hajachekesha angalau alikuwa serious.