RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Wewe inatakiwa akunyakue na kukutandikaaa vibao mpaka uumuke mimashavu yako πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 

Once again dsm hamna kiongozi safari hii. Mko auto pilot
 
Amenikumbusha enzi za bashite!
MaRC wa Dar sijui huwa wanalewa nini?πŸ˜„
 
A
Amewahi kufanya vurugu wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…