RC Chalamila: Mimi kuchomoa mashine na kufanya vurugu ni dakika mbili tu, na hakuna yeyote wa kufanya chochote!

Ana mambo ya kiseng seng kijinga jinga mno, simbilisi kabisa
 
Yeye anafikiri kuongea na kuingia field ni sawa
 
Dar ndy sehem pekee watu wanapigana na maneno aka mipasho yaan unaona wanakaribia kuzichapa kumbe hamna ni mipasho tu huku wengine wakisikilizia mipasho huku wanasema "weuwee pambeee jamani "
NB: hiyo ni kwawote yaan wanaume na wanawake pia.
 
Yeye anafikiri kuongea na kuingia field ni sawa
Si mara ya Kwanza namsikia anaongelea kutumia silaha kiholela. Akiwa Mbeya nakumbuka vizuri kabisa aliwahi kusema alipokuwa Mwenyekiti wa CCM Iringa alifyatilia risasi kibaka aliyejaribu kuruka uzio wa nyumba yake "akamuulia mbali" na video ilikuwa YouTube labda kama waliichomoa.
 
niko hapa najiuliza hivi kwel mheshi miwa chalamila na hiko kitambi upigane na mimi ushinde kwelπŸ€£πŸ˜…πŸ˜†πŸ˜πŸ˜„πŸ˜€πŸ˜ƒ
 
RC Nyapala Mzee Msela toka ukoo wa Panya.
Sifa nyingiii anasahau yanayomtoka hayarudi mdomoni.
 
Hawa watu wamwendazake, watasumbua Sana nchi hii. Kwa haya tunayoyasikia hapa huyu Nae alikuwa kiongozi wa wasiojulikana.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuna watu mmepinda πŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…